Ni sehemu gani sahihi ya kukutana na Mpenzi wako kwa mara kwanza?

Ni sehemu gani sahihi ya kukutana na Mpenzi wako kwa mara kwanza?

Mama pretty

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2020
Posts
2,082
Reaction score
4,103
Wakuu salam,

Naomba kufahamishwa ni sehemu gani sahihi kukutana na mpenzi wako kwa mara ya kwanza? Ambayo wote mtakuwa comfortable na kuji feel secure?

Je, ni bar? Mgahawani? Nyumbani kwa mwanaume/mwanamke? Guest house? Barabarani? Uchochoroni? Hotel? Beach?, au bustanini?
 
Wakuu salam,

Naomba kufahamishwa ni sehemu gani sahihi kukutana na mpenzi wako kwa mara ya kwanza? Ambayo wote mtakuwa comfortable na kuji feel secure?

Je ni bar?, mgahawani?, nyumbani kwa mwanaume/mwanamke?, guest house?, barabarani?, uchochoroni?, hotel?, beach?, au bustanini?
Vipi kuna mtu unataka ukakutane nae nini? Au baba pretty?! [emoji41][emoji41]

[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
 
Hahahah mi nilimleta Bar ndo tunakutana mara ya kwanza nakula kitimoto choma na ugali pembeni nina maji ya kilimanjaro meupe nilikuwa nina stress sana za maisha, maji nimechanganya sminorf spirit afu aliniuliza nikamwambia ukweli life is simple be real
 
Back
Top Bottom