Ni sehemu gani sahihi ya kukutana na Mpenzi wako kwa mara kwanza?

Ni sehemu gani sahihi ya kukutana na Mpenzi wako kwa mara kwanza?

Nani anataka kuliwa kimasihara?[emoji849]
Basi sehemu nzuri ni mgahawani, kwa maana mtafanya maongezi yenu, huku mkipata vinywaji baridi, vyakula na hata mkimaliza mtaondoka vizuri na kuagana vizuri sana.

[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
 
Back
Top Bottom