Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliekwambia Kinondoni mjini Nani?Ya mjini kuazia kinondoni mpaka morroco
Nenda Mwenge ma gym ya kumwga nenda Nlima sity nenda oli kom pale makumbusho nendo coco bichi nenda upanga ila huko bei kubwa mwenge uwezo wake lakini ni sehemu nzuli washua wengi utawakuta hukoNi sehemu gani kwa dar mimi ni mgeni hapa dar nina mwezi mmoja tu ni sehemu gani sasa hapa dar ni mzuri kufanya gym na bei cheap ila iwe classic isiwe uswahilini
Unajuwa kwann Kinondoni inaitwa mjini?Aliekwambia Kinondoni mjini Nani?
Sas ndo iitwe mjini? Hiv walioifanya Dar kuwa jiji wakiskia hiv si tunajidhalilishaUnajuwa kwann kinondoni inaitwa mjini?
Jibu...miaka ya 50,60 hko mabasi yalikuwa yanaishia hapo
Watu wanashuka wanapiga mguu kwenda maporini sinza mwenge na sehemu zingine
Ova
Kwa nini usiende pale tanzanite naona kama ipoHaya ni wapi?
Mkuu mimi natafuta gym maeneo ya tabata kinyerezi inayotoa huduma ya boxing mkuu, sio vyuma peke yake msaada please kwa yoyote pia anayefahamunenda mwenge ma gym ya kumwga nenda mlima sity nenda oli kom pale makumbusho nendo coco bichi nenda upanga ila huko bei kubwa mwenge uwezo wake lakini ni sehemu nzuli washua wengi utawakuta huko
Classic na bei cheap haziendani.Ni sehemu gani kwa dar mimi ni mgeni hapa dar nina mwezi mmoja tu ni sehemu gani sasa hapa dar ni mzuri kufanya gym na bei cheap ila iwe classic isiwe uswahilini