round kick
JF-Expert Member
- Feb 3, 2025
- 933
- 3,051
Ni jiji zuri kwa mabachela wasio na familia / hawajaoaHakuna mkoa wenye maisha nafuu kama Dar es Salaam, kwingineko ni story tu
USSR
Katavi , mji wa hovyo sanaMfano
kusikia gharama za maisha ya mkoa flani zipo chini kumbe kuingiza hata pesa kidogo ni shida,
Kusikia mkoa flani una mzunguko wa pesa kumbe kumbe maisha yapo juu mno