Ni sehemu gani ya nchi, mji au Kijiji ulifika mpaka ukajiuliza watu waishio huko walifuata nini?

Kijiji kingine ni mpyagula, kwa mbele kuna wasukuma wengi miaka ile wali na kambale mkubwa sana ilikua ni mia tano tu, mwenyeji wangu aliponiona kama nina mawazo akajadili na mke wake wakamwita binti mdogo wa mke wake aje anifariji chumbani na binti alikua mwanafunzi nilishangaa sana sitosahau hiko kisa
 
Tanzania kubwa sana ndugu yangu, na ina mila na desturi na maisha ya kila namna. Naomba Mungu siku moja nikipata fedha ya ziada nitafanya ziara Tanzania nzima au sehemu nyingi kadiri niwezavyo. Sehemu kama hizo ambazo wengi wamezizungumzia hapa.
 
Kuna Hawa ndugu zangu wa tewe kule milimani karibia na ndugu zao wa Mali sijui hata wamefwata nini kule
 
[emoji1][emoji1]

Dodoma ninadhani ndio mkoa unaongoza Kwa mazingira magumu

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Kuna Maeneo yanatisha ndugu, Ziara ya 825 kJ mpwampwa kipindi inarudishwa upya ile kambi maana ilifungwa kwa miaka Mingi sana Kabla ya kuirejesha Eneo la awali ilifanya wengine tutembelee Maeneo mengi ambayo ni tofauti machoni petu kwa upande wa Dodoma ,kuna Kijiji kinaitwa mbuga huko ni baridi si mchezo ndugu na maisha yetu ndio yaleyale.
 
Kuna sehemu nilifika Katesh, Arusha huko, zamani sana. Nilishangaa kukuta wavuta sigara hata magazeti ya kusokotea sigara hawana bali wanatumia mabua ya mahindi. Nilikuwa na gazeti wakafurahi kweli kweli nilipowapa.
 
Bora hata mpanda, kuna mahali panaitwa MAJIMOTO aisee huko nilipoenda nilijiuliza qatu wamefuata nini, na wengi wao ni wasukuma kule...Ajabu ni kwamba they are making money ile hatari. Ni matajiri wa kutupwa kutokana na kilimo ufugaji na madini.
Alafu bado ukajiuliza wamefuata nini?


[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Vijiji vyote vya mpwapwa vya milimani hakufai japo kuna unafuu ukilinganisha na tambarare. Mpwapwa mwisho ilitakiwa iwe Kibakwe.
Vile vijiji vya kule jeshini ni noma kule hakuna barabara,duka,umeme,network za simu,maji shida lkn watu wanaenjoy life
Wao ni Kula kuchunga mifungo na kulala hiyo kwao ndo starehe.
 
Kule ni shida tupu kuanzia vianzi taliri mpwapwa kwenda mbele hadi mpwapwa jkt mbele huko kuna shida tupu
 
Wewe huoni hiyo view😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…