mti utaota kwenye hilo shimo na kila jani litakalo dondoka litasema yote uliyokuwa unasema "Kinyozi akashindwa kuvumilia kumsema mfalme, akaenda kuchimba shimo dogo kwenye shamba akisema "๐๐๐๐ฅ๐ฆ๐ ๐๐ง๐ ๐ฆ๐๐ฌ๐ค๐ข๐จ ๐ฆ๐๐ซ๐๐๐ฎ ๐ค๐๐ฆ๐ ๐ฉ๐ฎ๐ง๐๐" mbegu ya msonobaro ikadondoka hapo kwa bahati mbaya mti ukaota ukwa mkubwa.Nenda shambani kwako chimba shimo dogo ongea yote unataka kusema ukimaliza fukia ondoka. Hapo nakuhakikishia hautayasikia kwa watu tena
Nondo za wakale utazijua tu.mti utaota kwenye hilo shimo na kila jani litakalo dondoka litasema yote uliyokuwa unasema "Kinyozi akashindwa kuvumilia kumsema mfalme, akaenda kuchimba shimo dogo kwenye shamba akisema "๐๐๐๐ฅ๐ฆ๐ ๐๐ง๐ ๐ฆ๐๐ฌ๐ค๐ข๐จ ๐ฆ๐๐ซ๐๐๐ฎ ๐ค๐๐ฆ๐ ๐ฉ๐ฎ๐ง๐๐" mbegu ya msonobaro ikadondoka hapo kwa bahati mbaya mti ukaota ukwa mkubwa.
Maajabu kila jani linalodondoka kwenye mti linasema "mfalme ana maskio makubwa kama punda"
๐ค๐ข๐ฃ๐ข๐ฃ๐ข ๐ค๐ข๐ณ๐ข๐ฆ๐ ๐ค๐ข๐ค๐๐ฃ๐ฎ๐ ๐๐ก๐๐๐ ๐ง๐๐ข๐จ ๐ฆ๐๐๐ง๐ ๐ก๐๐ฏ๐ฎ๐ข ๐ค๐ข๐ญ๐๐ฆ๐๐๐ ๐ค๐ข๐๐ก๐ฐ๐๐ง๐ข ๐ญ๐ฎ๐ค๐๐จ๐ง๐ ๐ง๐ฒ๐ฐ๐๐ฅ๐ ๐ณ๐๐ค๐. Source RIWAYA YA GAMBA LA NYOKA BY EFRAHIMU KEZILAHABI
ukitaka kutoa siri nenda sehemu yenye miti na hewa nzuuri upepo mwanana sikiliza relax songs meditate ongea na miti.
penda sana land scape.
Mtu wa kumwambia siri yako ni nafsi yako, ongea na nafsi yako na ilazimishe itunxe hiyo siri kwa kuwa unaimudu nafsi yakoKwa uzoefu tu Jamani watu wengi ni wasaliti sana.
Unaweza kumueleza kitu chochote ili upewe ushauri.
Cha ajabu ushauri hupewi bali utayasikia mtaani na hii inaumiza sana.
Sasa ni wapi Jamani mtu ueleze siri yako?
Mimi limewai nikuta nilimueleza mtu siri na akaenda kuisambaza mahali nilijuta sana kwa kuwa nilikuwa namuamini sana.
Wakuu tupeane uzoefu na ushauri.