EllySkyWilly
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 2,204
- 2,085
Habari za leo wakuu,
Kama kichwa kinavyo jieleza hapo juu njoo tujadili ni sekta zipi katika soko la Tanzania hazina perfect competition of market.
Perfect competition ni hali ya kuwepo kwa ushindani Mkubwa katika soko usio na upendeleo. Na bei za sokoni zote hazi be controlled na wauzaji wala wanunuaji. Soko linaji-control lenyewe.
Halafu pia soko hilo linakua halina monopolism. Monopolism ni mfumo wa soko unaokua na muuzaji mmoja tu, na anakua anauza bidhaa ya moja ambayo haiuzwi na mwingine yeyote kwenye soko. Katika soko la monopoly, muuzaji hakabiliwi na ushindani wowote, kwani ndiye muuzaji pekee wa bidhaa isiyo na mbadala hapo sokoni.
Ni sekta zipi katika soko la Tanzania hazina perfect competition of market.
Dondosha jibu lako hapa chini.
Note; Market is a good way to organize economic activities.