Kama nssf wanatoa basi ni kwa upendeleo mimi nimezungushwa mwaka mzima na last week wamenitolea nje eti sababu nilisitisha mkataba... Siupendi huu mfuko ni kalenda kila sikuNssf wanatoa nina rafiki yangu amechukua mwezi mmoja uliopita
Kama wanaondoa fao la kujitoa basi wawarudishie watumishi kodi yao waliolipa kipindi cha utumishi wao. .....kwa mfumo wa sasa mtu anaweza kulipa kodi kubwa zaidi ya makato anayopeleka kwa ajili ya mafao ya uzeeni
Ki ukweli ni kuwa wabunge wetu wametusaliti.Mabadiliko ya sheria za Hifadhi ya Jamii (Social Security Laws Amendment), 2012 yaliondoa kipengele cha uwepo wa fao la kujitoa kwenye sheria ya kila mfuko (maana kila mfuko wa pensheni unayo sheria yake inayotaja mafao yanayotolewa na mfuko husika).
Hivo bas, wabunge walipitisha mabadiliko yale na hivyo automatically vipengele vilivyokua vinataja FAO LA KUJITOA (withdraw) viliondolewa.
Nasikitika kusema kwamba inawezekana kabisa kwamba mabadiliko yalipitishwa bila kujua haswa ni KITU KIPI HASA KINABADILISHWA na matokeo yake wakajikuta wame -repeal vifungu vilivyokua vinasema " mafao yanayotolewa na mfuko chini ya sheria hii ni......(FUTA -Withdraw)
Haikutungwa sheria kama sheria ya kusema FAO LA KUJITOA LISITOLEWE...bali kwa mabadiliko yale kurekebisha vipengele vya mafao na kutokutaja fao la kujitoa (withdraw) automatically mfuko hauwezi kulipa kwakua mfuko unalipa mafao YALIYOTAJWA TU na kila fao limewekewa utaratibu namna linavotolewa.
Sheria za mifuko yote pamoja na hao wasimamizi wa SSRA zilirekebishwa mwaka 2012 na copy ya sheria ambazo ziko embeded zinataja sheria kua ni [R.E 2015] ~maana yake ni kwamba shwria husika ni TOLEO LA 2015 (ambalo ndilo linayo hayo marekebisho ya 2012.
ONA VIELELEZO
1. Kitabu cha sheria za Hifadhi ya Jamii Toleo 2015.
2. Sheria za mifuko mmojammoja zinajieleza (hii ni NSSF)
3. Mafao ya NSSF (angalia kwa hautaona WITHDRAWAL ikitajwa, iliondolewa)
Naenda Zim.
Kwa mwendo huu watumishi wengi wasioridhishwa na mazingira ya kazi watakuwa na ujasiri wa kuacha kazi kwani pensheni iliyokuwa inawabwetesha kuendelea na kazi haina maana tena.Kama Una Baba yako, Mama Yako, Bibi Babu, Dada Na Hata wewe Mwenyewe na Wanyonge Wote Serikali ya Awamu ya Tano Imekaribia kuleta Mkong'oto Huu Huu hapa (Kilio na kusaga Meno)
Kuna mswada unakuja na kwa Bunge letu la Wangapi wanakubali Waseme Ndiyooooo "Ndiyoooooo" waliosema ndiyo wameshinda "Utapita"
MSWADA HUO Unaenda kuua wastaafu Na sisi Tunao karibia kustafu
Ni hivi Mafao ya wastafuu yatakuwa hivi Tega sikio, utalazimika kulipwa 38% tu na 62% utakuwa unalipwa kila Mwezi (monthly) hapa ili unielewe nikupe mfano. kama ilikuwa ulipwe milioni 100 kama hela yako ya kustafia maana yake kwa mswada mpya utalipwa pension ya mkupuo 38 milioni halafu milioni 62 ulipwa kila mwezi.
Ukistafu na umri wa miaka 61 utakula hicho kiasi cha million 38 kigingine utalipwa kidogo kidogo kila mwezi
Ubaya wa hili siku ukifa tu kila kitu kimekufa malipo kila mwezi nayo yanakufa. Hivyo hela nyingi zitabaki kwenye mifuko maana rekodi inaonyesha wastaafu wengi hawaishi muda mrefu na hasa ukizingatia mafao yatapungua.
2. Mume akifa Mke na wategemezi watahudumiwa miaka 3 tu kisha huduma itakoma wakati ungepewa yote ungewaachia miradi familia wakaishi hata kama haupo
3. March 2018 mifuko itaunganishwa kubaki mifuko 2 tu. Yaani LPF, NSSF PPF sijui nani sijui nani itafungwa na kubaki mifuko miwili tu (Vibarua vinaenda kuota nyasi)
4. April 2018 sheria itaanza kutumika Yaani Mwakani Kuna kilio kikuu kwa watumishi wa mifugo na wastafuu
My Take
Kwa ufupi bila kupindisha muswada huu utaumiza watumishi wote ,Bunge Mkafanye kazi yenu, sasa Hiki ni kipimo chenu cha kudhibitisha Mpo huru na kwamba ni muhimili unajitegemea ,Wabunge wetu msipoliona hili kuwasemea watumishi basi Mtawasononesha watumishi
Yaani Ufanye kazi miaka 61 ukitumikia umma uzeeni uporwe haki itasikitisha
Alloyce Nyanda
Mtozi.
Mkuu naomba maelekezo hapa, umewezaje kutoa hata hiyo 10 m wakati Fao la kujitoa limesitishwa au wameshalirudisha..??JAMANI WANA JAMVI NAOMBA USHAURI KUHUSU FAO LA KUJITOA Mimi nililipwa fao lakujitoa PPF mwaka jana fao langu lilikua jumla mil,15 lkni nikalipwa mil,10 tano wakanimbia niandike barua ya punjo ili nilipwe iliyo baki nimepeleka barua mara nyingi hakuna jibu nikaingia kwa meneja anasema hiyo siwezi pata mpka ni staafu nilipwe kwa mwezi ukipiga simu custumer care wanasema niitume barua yapunjo lkni wao hajaniambia mpka nistaafu ushauri wanao jua utaratibu huu niingie office gani nipate haki yangu?
Liliwahi kufutwa 2012 na mie wakati huo nilikuwa ni muhanga ambapo John Mnyika na Selemani Jafo walitoa hoja binafsi ambapo ilipelekea tena mwaka 2012 mwezi Novemba ambapo bunge ilirudisha na ndipo tulipooanza tena kuchukua hilo fao mpaka mwanzoni wa mwaka 2018 na waliacha kulitoa mwanzoni mwa 2018 baada ya Rais kusaini sheria mpya ambapo wakaja na fao la kukosa ajira ambalo kimsingi hakuna mfumo ambao umewekwa.Ni Kweli NSSF wanatoa kweli? mbona habari hizi zinachanganya sana maana nimesoma watu wakisema hawatoi. Ama ni mambo ya upendeleo? Kwamba wanatoa kwa watu fulani tu?
Mkuu nenda ofisi yyte ya psssf au waibukie ssra wakakupe mwongozoJAMANI WANA JAMVI NAOMBA USHAURI KUHUSU FAO LA KUJITOA Mimi nililipwa fao lakujitoa PPF mwaka jana fao langu lilikua jumla mil,15 lkni nikalipwa mil,10 tano wakanimbia niandike barua ya punjo ili nilipwe iliyo baki nimepeleka barua mara nyingi hakuna jibu nikaingia kwa meneja anasema hiyo siwezi pata mpka ni staafu nilipwe kwa mwezi ukipiga simu custumer care wanasema niitume barua yapunjo lkni wao hajaniambia mpka nistaafu ushauri wanao jua utaratibu huu niingie office gani nipate haki yangu?
Liliwahi kufutwa 2012 na mie wakati huo nilikuwa ni muhanga ambapo John Mnyika na Selemani Jafo walitoa hoja binafsi ambapo ilipelekea tena mwaka 2012 mwezi Novemba ambapo bunge ilirudisha na ndipo tulipooanza tena kuchukua hilo fao mpaka mwanzoni wa mwaka 2018 na waliacha kulitoa mwanzoni mwa 2018 baada ya Rais kusaini sheria mpya ambapo wakaja na fao la kukosa ajira ambalo kimsingi hakuna mfumo ambao umewekwa.
Ila kwa kuwa Rais amefutilia mbali mambo ya pensheni kwa sheria hii mpya nadhani pia fao la kujitoa litakuwa limerudi automatically maana alizungumzia pia hakuna logic kwa mtu amefanya kazi miaka 4 alafu baadae umwambie achukue hela baada ya miaka 60 akatolea mfano mtu kapata kazi kwenye ujenzi wa madaraja ama kwenye migodi
Liliwahi kufutwa 2012 na mie wakati huo nilikuwa ni muhanga ambapo John Mnyika na Selemani Jafo walitoa hoja binafsi ambapo ilipelekea tena mwaka 2012 mwezi Novemba ambapo bunge ilirudisha na ndipo tulipooanza tena kuchukua hilo fao mpaka mwanzoni wa mwaka 2018 na waliacha kulitoa mwanzoni mwa 2018 baada ya Rais kusaini sheria mpya ambapo wakaja na fao la kukosa ajira ambalo kimsingi hakuna mfumo ambao umewekwa.
Ila kwa kuwa Rais amefutilia mbali mambo ya pensheni kwa sheria hii mpya nadhani pia fao la kujitoa litakuwa limerudi automatically maana alizungumzia pia hakuna logic kwa mtu amefanya kazi miaka 4 alafu baadae umwambie achukue hela baada ya miaka 60 akatolea mfano mtu kapata kazi kwenye ujenzi wa madaraja ama kwenye migodi