Ni sheria zipi hutumika kwenye mahakama zetu

Ni sheria zipi hutumika kwenye mahakama zetu

NgugiAchebe

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2016
Posts
1,024
Reaction score
688
Wana janvi ile kesi iliokua inasubiria sana iliokua inamuhusu askari aliemuua marehaemu mwangosi mwandishi wa habari wa Chanel 10 imetoka kwa askari kuhukumia miaka 15 jela kwa mujibu wa jaji aliua Vila kukusudia. Sawacnimekubali

Mtakumbuka kuna kesi iliokua inamuhusu msanii wa bongo movie lulu Maiko lulu akituhumia kumua marehemu kanumba na ikaonekana nae aliua bila kukusudia lakini cha kushangaza had I Leo hakuna hukumu iliotoka wakati nae kaua bila kukusudia
Swali lina kuja sheria zetu za mahakama zinautofauti kwa majaji wanaosukiliza kesi?
 
Ni kwel hebu wajuzi watueleze,why adhabu tofauti kwa kosa linalifanana?
 
Adhab hutofautiana kulingana na tofaut zitokeazo ktk mwenendo mzima wa kesi mf.uzito wa ushahid,maslah ya uma,mitigation factors,maombi kutoka pande zote mbili pia maoni na msimamo wa judge husika MF.strict view or liberal view nk
 
Good
 
Back
Top Bottom