Hilo ni tatizo nimekumbana nalo nilivumilia lakini uzungu ulinishinda nikajiunga na ushamba ,siku iliyofuata majembe,ahh mambo ya kuelekea kusikojulikana na bilika la maji.Kuna vijijin kila ikifika wakati wa kutaka kuoga au kunya unawaza sana,mazingira hayaruhusu
Utumie choo kwan wew ni mwanamke!?😃😃Nilikuwa nikae mwezi lakini yamenishinda,kuoga kisimani kwenda haja kubwa au ndogo ni kwenye machaka unakuta hakuna chaka ni minazi mitupu ,usiku ukitaka kwenda haja ndio kindende.
Nimetaka kuwachimbia choo wakasema arzi yao ina maji,hivi mpo mmezoea hii hali wakiti mkitoka mjini au ulaya.