kifimbocheza_
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 1,119
- 1,095
Linganisha ata show za kina wizkid na davido wanazopiga ulaya na hizi wanazopiga afrika kuna utofauti kabisa almost za ulaya wanafanya kwny vi club vya kawaida tu tofauti na wanapofanya afrika huwa wanafanyia kwenye viwanja kabisa vya mpiraShow nyingi za Ulaya Wasanii hupiga kwenye Visebule na Vipati vya Birthday.
Hapo bado hiyo pesa uliyopewa hujakatwa Kodi zao huko. Tofauti na huku Africa.
Kiaje fafanua zaidiMkuu kinacho-matter sanasana ni Sh ngapi anaingiza kwenye shoo husika
Show ya club huwezi linganisha na show ya uwanjani dada angupesa ile ile kama analipwa million 100 hivo hivo everywhere.
Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
club ganiShow ya club huwezi linganisha na show ya uwanjani dada angu
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Namaanisha thamani ya pesa anayoingiza mkuu kulingana na nchi husika anayoenda kupiga show...unaweza kukuta hela anayopata hapa TZ ni ndogo kuliko ile ya nje ya nchi akishatoa makato yote na gharama ndogondogo
Show ipigwe sebulen ndugu. Acha dharau basi Ndugu yangu?Show nyingi za Ulaya Wasanii hupiga kwenye Visebule na Vipati vya Birthday.
Hapo bado hiyo pesa uliyopewa hujakatwa Kodi zao huko. Tofauti na huku Africa.
Kwa hiyo tunaposikia kuwa msanii fulani ana tour ulaya ni sifa tu?Ni show chache sana za mbele ndizo zinalipa ingawaje bado zinaweza zisilipe sawa na exclusive shows za Bongo!! Na kama ni zile show za kuhama toka mji mmoja kwenda mwingine ndo kabisa!!
Exclusive shows za Bongo ni kama hii ya kesho kutwa Future, Dangote & Co. Ni ngumu hata kwa Dangote mwenyewe kupata show US or UK anayoweza kulipwa kama hiyo ya Castle Lite!
Kwa ujumla, exclusive shows ndani ya East Africa ndizo zinazolipa zaidi kuliko ordinary shows za mbele!