Ni shows zipi kwa msanii zinalipa sana za ulaya au za Africa (ndani)?

Ni shows zipi kwa msanii zinalipa sana za ulaya au za Africa (ndani)?

kifimbocheza_

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2017
Posts
1,119
Reaction score
1,095
Tunabishana na mshikaji apa anadai shows za ulaya zinalipa zaidi kuliko show za msanii anazopiga Africa nikimanisha show za ndani (nchini na nchi za kiafrica)
Mm naamini na nitaendelea kuamini kuwa show za ulaya hasahasa kwa wasanii wetu hazina maslahi sana ukilinganisha na show ambazo msanii anaweza kupiga kwny nchi za Africa, nasema ivo kwa sababu gani msanii anpoenda kufanya show ulaya mara ngingi tunaona wakifanya kwenye v ukumbi tu kama maisha club hata wasanii wakubwa wa kiafrika kama wizkid na davido wanapiga showa kwenye v club tu tofauti na wanapofanya show kwny nch za kiafrika,
Mwenye exposure zaidi anisaidie.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Mkuu kinacho-matter sanasana ni Sh ngapi anaingiza kwenye shoo husika
 
Sina expisure but nadhani za ndani Afrika ndio wanalipwa zaidi.
Hata ukiangalia show ambazo wanajaza watu hata ukimuona dai yuko rwanda au zambia ni nyomi so sidhani kama wanalipwa pesa mbuzi.
Yule aliyekuwa meneja wa saida kalori kitambo alipiga mpunga balaa na show za saida zilikuwa east africa tu

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Show nyingi za Ulaya Wasanii hupiga kwenye Visebule na Vipati vya Birthday.

Hapo bado hiyo pesa uliyopewa hujakatwa Kodi zao huko. Tofauti na huku Africa.
 
Show nyingi za Ulaya Wasanii hupiga kwenye Visebule na Vipati vya Birthday.

Hapo bado hiyo pesa uliyopewa hujakatwa Kodi zao huko. Tofauti na huku Africa.
Linganisha ata show za kina wizkid na davido wanazopiga ulaya na hizi wanazopiga afrika kuna utofauti kabisa almost za ulaya wanafanya kwny vi club vya kawaida tu tofauti na wanapofanya afrika huwa wanafanyia kwenye viwanja kabisa vya mpira

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Show nyingi za Ulaya Wasanii hupiga kwenye Visebule na Vipati vya Birthday.

Hapo bado hiyo pesa uliyopewa hujakatwa Kodi zao huko. Tofauti na huku Africa.
Show ipigwe sebulen ndugu. Acha dharau basi Ndugu yangu?
 
Ni show chache sana za mbele ndizo zinalipa ingawaje bado zinaweza zisilipe sawa na exclusive shows za Bongo!! Na kama ni zile show za kuhama toka mji mmoja kwenda mwingine ndo kabisa!!

Exclusive shows za Bongo ni kama hii ya kesho kutwa Future, Dangote & Co. Ni ngumu hata kwa Dangote mwenyewe kupata show US or UK anayoweza kulipwa kama hiyo ya Castle Lite!

Kwa ujumla, exclusive shows ndani ya East Africa ndizo zinazolipa zaidi kuliko ordinary shows za mbele!
 
Kwa hiyo tunaposikia kuwa msanii fulani ana tour ulaya ni sifa tu?

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom