Msitari wa pambizo
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 3,098
- 5,451
Future stars academy ipo Goba Kulangwa njia ya madaleTitle ya thread inajieleza. Nahitaji shule ya English medium kwa mwanangu inayopayikana mitaa ya Goba na viunga vyake. Tafadhari sana share nami shule ambayo nikimpeleka mwanangu sitojuta
Ahsante sana. Hii iko maeneo gani kutoka Goba centre?Kings
Nimejaribu kuitafuta hii NECTA sijaona matokeo yake ya darasala saba. Au bado ni mpya?Living mind iko Goba Centre
Ahsante sana mkuuFuture stars academy ipo Goba Kulangwa njia ya madale
Kama unatoka Goba kuelekea Mbezi unapita njia 4, then kwa mbele utaona kibao chao.Ahsante sana. Hii iko maeneo gani kutoka Goba centre?