Ni shule gani ya msingi (english medium) iliyoko Mabibo na viunga vyake

Ni shule gani ya msingi (english medium) iliyoko Mabibo na viunga vyake

emmarki

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2012
Posts
1,001
Reaction score
1,430
Nategemea kuhamia mabibo katika harakati zangu za kutafute mkate wa kila siku.

Naomba kujuzwa kama kuna shule nzuri ya primary (English Medium) kwa ajili ya kusoma kinda wangu. Iwe mabibo au kuna shule yenye school bus yanayopita maeneo hayo
 
Ziko nying ukifika pitia serikali za mtaa watakuambia
 
Back
Top Bottom