emmarki JF-Expert Member Joined Nov 22, 2012 Posts 1,001 Reaction score 1,430 Nov 10, 2022 #1 Nategemea kuhamia mabibo katika harakati zangu za kutafute mkate wa kila siku. Naomba kujuzwa kama kuna shule nzuri ya primary (English Medium) kwa ajili ya kusoma kinda wangu. Iwe mabibo au kuna shule yenye school bus yanayopita maeneo hayo
Nategemea kuhamia mabibo katika harakati zangu za kutafute mkate wa kila siku. Naomba kujuzwa kama kuna shule nzuri ya primary (English Medium) kwa ajili ya kusoma kinda wangu. Iwe mabibo au kuna shule yenye school bus yanayopita maeneo hayo
Gily Gru JF-Expert Member Joined Jul 4, 2016 Posts 8,632 Reaction score 23,673 Nov 15, 2022 #2 Ziko nying ukifika pitia serikali za mtaa watakuambia