Ni sifa zipi za kusoma masters hapa tanzania

Ni sifa zipi za kusoma masters hapa tanzania

slmmfm

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2014
Posts
304
Reaction score
65
Hiv ni vigezo gani vinaruhusu mtu kusoma masters degree hapa bongo, Aplication zke zinafanywaje
 
Inategemea kuwa unataka kuwa master katika mapigo yapi...
1) Judo
2) Karate
3) Shotokan....nk

Samahani kama nimekuekewa vibaya.....
 
Tembelea website za vyuo utapata hizo information ; or be specific ni chuo Gan na masters ipi unahitaji
 
kumbe siku hizi mnasomea kuvuta sigara za MASTER,vuta SPOTI au SM,hizo hazina kusomea wala hakuna vigezo
 
​Mkuu inategemea na chuoo labda utoe unataka kusoma course gani na chuo pia
 
Back
Top Bottom