kanali mstaafu
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 4,318
- 4,105
YaapHuyu anaesikika kweny nyimbo za Weusi??
Huenda ni Man Maji Man WaterHivi nani kafanya seduce me? kuna kama maji yanamwagika mwanzoni.
Yupo vizuriYaap
Napendaga signature ya producer aliyetengeneza huo wimbo ila sijuagi anaongea nn nasikiaga tu fufufuyage[emoji3][emoji3][emoji3]Moto combat..mikono juu,mikono juu mwendo wa mateka
Jamaa hupo vizur yuleeMasterKraft on the beat...namkubali balaa
juzi nilimuona CokeStudioJamaa hupo vizur yulee
Man maji man walter himself.Hivi nani kafanya seduce me? kuna kama maji yanamwagika mwanzoni.
Abby dadyAlly Dady
Typing error tu..ni sele yeahseke bobo >>>>SELE BOBO
True...Typing error tu..ni sele yeah
Its a fishcrab cookout'It is a Fish Crab Cookout'
Huyu wa TURN UP YA country boy?? Nyimbo gani Hit ameproduce nyingine?
Bear bearHalafu kuna signature fulani hivi inatajwa...'Mbeya' 'Mbeya' sijajua ni producer gani
Ipo kwenye nyimbo ya Stamina na Maua sama Love me, Muda ya ChidBenz na Qchief, aje mwenyewe ya Young killer,Stamina na Billnass
Anaeijua ni ya producer gani anifahamishe
Cjui kapotelea wap ngoma yake ya mwisho Mimi kuiskia ni ile ya Ben pol 'Jikubali'Lucci yuko wap siku hizi?? alikuwa anampatia CPwaa
ndio jina lake? nasikiaga mbeya mbeyaBear bear
kapotea kwenye ramaniCjui kapotelea wap ngoma yake ya mwisho Mimi kuiskia ni ile ya Ben pol 'Jikubali'
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]Its a fishcrab cookout