Nyamwi255
JF-Expert Member
- Dec 2, 2022
- 4,848
- 12,776
Sauti ya mina ally
Zesisonthebeat
Refer nyimbo za Aslay
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zesisonthebeat
Refer nyimbo za Aslay
🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23] baada ya kuandika comment yangu ndo naona tulikua na mawazo sawa...
me nasemaga diva makoo u killing 'em[emoji23][emoji23][emoji23] kune wimbo wa OLE
combinigaman maji,combination
The mix killer ni mtu mwingineThe Mix Killer Abbah
Neym
S2Kizzy baby
Kamix Lizer
Kimambo on the beat
Bear
The mix killer ni mtu mwingine
Na Abbah ni mtu mwingine
Watoto wa elfu mbili hawata elewaSimon danger, mapigo shentee
Oohh nafahamu ila nilikosea kuandika hapo mkuu nilikuwa sijaona, kwenye hiyo list ilikuwa akitoka the mix killer aje abbah, ila nikasahau kutenganisha ndio maana ikawa inasomeka kama jina mojaThe mix killer ni mtu mwingine
Na Abbah ni mtu mwingine