[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Kuna nyimbo za kisukuma af utasikia kadada kanasema
"Nye..Nye..Nye..nyehunge studio"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni Bear Huyo Toka Kill Rec
[emoji1787][emoji1787]
Pancho alikuaga na Signtune kweli?me nilikua naiskia ya Hammy B tu hadi kwenye ngoma za Pancho"Kwenye track hii ya Hammy Biiiiiii"Ile ya marehemu panchi
Uwezo wake mdogo siyo ?
Nakubaliana na wewe. Amepewa kila kitu, hana stress lakini ubunifu ZERO !
- Wangepata watu kama Abba, Luffa, Abydad, Maximizer ingekuwa poa sana
anapik rosti tu cku hiziJamaa kawa mvivu siku hizi hatengenezi ngoma kabisa !
Kuna ile ila cjui ni prdyza gan...another one anaisema Fa na mwanzon anaisema g nako bby cjui nn u kili me...nisaidien neno anlolisema g nako na prdyza gn
Sent using Jamii Forums mobile app
B Records Material ya Chizan Brain"I told u 2 kill dem"hahaha nakickia mm pia
Ooooh Niiiiceeee This is serious,Got damn scratchhhOoooh noooo.... this is seriooooous