Huyo ni wema sepengaKale kadada kanachosema Mj records... sauti nzuri
Samsung S8
kiba ni producer?Jaman mbona mmemsahau kiba yooooooo
mchokozi
Noma sanaTalk of the town ........
Lamar.........
I present it to you ....
Fish crub cookout......
Aaaaaaaah .....
Jamaa nilikua namuelewa sana na nadhani yeye ndo kama alianzishaga haya mambo maana kina marco chali walikua hawanaga
Starfish crab nini sijui....auuuuuuuLAMAR hasa kwenye ile ngoma ya LANGA[R.I.P] Inaitwa GANGSTAR, ni noma sana
Hata mimi naikubali sana, yule dada huwa ananikosha kweli kweli.Kwa mamtoni naikubali sign ya Maybach Music....
Hii ipo kwenye wimbo gani niusake niiskieKale kadada kanachosema Mj records... sauti nzuri
Samsung S8
SINA JAMBO by bill nas,mwishoni
Za chaaaaaaaaNahreel on the beat...
Touch hahaaaaa......
Daxo Chali.....
George makoy u killin emkimambo on the beat...
musa babaz wa babaz...(esp akiitaja stamina kune HIVI AMA VILE)
bear bear...
diva makoo u killin 'em([emoji23][emoji23][emoji23] i know nimechapia,simjui ila ni yule alieproduce OLE ya belle 9 na G wara wara de kankara)...