Ritchy Breezy
JF-Expert Member
- Dec 9, 2020
- 479
- 727
Habari za wakati huu wapendwa.
Asee hakuna jambo zuri kama kumshawishi mwanamke akubaliane na kile unachohtaji kwake(penzi),inaleta raha zaidi pale mwanamke aonyeshe kukukazia ila ukzdisha sera jimbo unakabidhiwa. mwezi huu nmeattempt kuapproach wadada si chini ya watano,nashukur hakuna alonitolea nje jambo ambalo si kawaida kwangu..kikawaid nkitongoza wa5 wa3/2 watakubal wengne watazngua..
back to the point
Leo jion baad ya mishe zangu nkakutana na binti ambae leo ilkua mara ya pili kukutana,mara ya kwanza tulipokutana tuliishia kusalimiana tu no more. leo nilivyomuona nilimuita nikaomba kuongea nae.. nilitoa ya moyoni,jibu likawa haamini kabsa wanaume basi nkajitetea kimtindo,nkajibiwa tena nimpe muda...
nilimuomba anipe kampani nkachkue kitu duka alipokubali safari ya kwenda dukani na kurudi niliitumia vizuri kwani hadi tunarudi kila kitu alikua amekubali..
inaendelea.>>>
wiki kadhaa nyuma