binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Enhee haya, kwamba mahusiano yanaanza na kupeana mimba kwanza?
Watoto wa kike,! Kweli kusikia kwa kenge...
Watoto wa kike,! Kweli kusikia kwa kenge...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
shukrani sana mkuu.Google Chinese birth calendar.
Iko exactly kabisa.
Itakuambia ni miezi Gani mwanamke ana conceive mtoto Wa jinsi Gani kulingana na umri wake.
Nimetest kwangu na majibu yalikuja sawasawa.
mrembo,naomba ufafanuzi zaidi.Inafuatana na mzunguko wake...siku 21,24,26,28,30,34,35...........
hizo siku unahesabujeKama ni 28 atapata siku ya 11,12 na 13
😂😂😂 nmechekaaaEnhee haya, kwamba mahusiano yanaanza na kupeana mimba kwanza?
Watoto wa kike,! Kweli kusikia kwa kenge...
Kidume uwa ni zile danger kabisaTo yeye leta nondo hizo nikanyandue nipate dume la urithi.
Mi nina shoga angu ndio aliniacha hoi, alizaa na mwanaume akaachwa kihivyo hivyo mashost kusaidiana tunalea mtoto,Sasa kwasababu ana kikazi cha kawaida nikamshauri mpeleke mtoto kwa bibi yake rudi shule ukimaliza labda kamshahara katakua kua umlee mwanao vizuri, kweli akafanya hivyo.😂😂😂 nmechekaaa
Nmemkumbuka shoga angu mmoja
Alikuwa anapata hamu za kubebe mimba balaa
Mpk akaja kuibeba…
Na wewe ni mchina wa makolora... Eti...Google Chinese birth calendar.
Iko exactly kabisa.
Itakuambia ni miezi Gani mwanamke ana conceive mtoto Wa jinsi Gani kulingana na umri wake.
Nimetest kwangu na majibu yalikuja sawasawa.
Mi pia aisee!!! I wish....
Tunafanyaje sasa jamaniMi pia aisee!!! I wish....
DuhGoogle Chinese birth calendar.
Iko exactly kabisa.
Itakuambia ni miezi Gani mwanamke ana conceive mtoto Wa jinsi Gani kulingana na umri wake.
Nimetest kwangu na majibu yalikuja sawasawa.
Jamaanii 😆😆 anabeba mimba simple hivyo utadhani anaomba kubeba box la rough rider.Mi nina shoga angu ndio aliniacha hoi, alizaa na mwanaume akaachwa kihivyo hivyo mashost kusaidiana tunalea mtoto,Sasa kwasababu ana kikazi cha kawaida nikamshauri mpeleke mtoto kwa bibi yake rudi shule ukimaliza labda kamshahara katakua kua umlee mwanao vizuri, kweli akafanya hivyo.
Akapata chuo mkoa nilipo, akaja mie ndio shost ake wa mjini nikamuumhanisha na rafiki yangu mmoja hivi kidogo yuko vizuri wakaanza kudate, date ya kwanza kaenda mwenyewe, date ya pili kanichukua na mimi twende sote. Tukiwa huko out, katika kupiga piga stori akamwambia yule kaka nikikizoea chuo nakubebea mimba! I was like WTF!!!
Baadae namsuta namwambia hivi wewe kaka wa watu kakwambia anahitaji mtoto? We mwenyewe unajua mtoto wako wa kwanza unavyopambana unataka from no where uongeze wa pili tena na mtu mliyekutana wiki! Akawa anajichekesha chekesha.
Desa ni artificial scientific methods lakini wanaume zetu wa Tz wengi wao hata kama anaaford hakubali ng'oo, anaona kama mtoto wakutengeneza hatakuwa wake. 🤣Tunafanyaje sasa jamani
Hivi hamna desa kweli la kudeal na siku? Ila sidhani… 😂
Jumapili saa 9 usikuTuendelee..
katika story story tligusia swala la umri akaniambia ana 24,mie nkaunga na swali,wewe si mwanafunzi umewezaje kukaa hadi leo huna mimba unajitunza sana,japo najua binti yoyote 22-26 akiwa hasomi mara nyingi hutamani sana kuwa na mtoto..
alijibu natamani sana tena natamani mtoto wa kike
mie nikajibu,hilo mbona dogo mi biology nlikua njema jmosi njoo kwangu ntakuelekeza vizuri..
majibu ikawa jmosi atafika kwangu.
kilichonifanya nifike kwenu naombeni mnipige msasa juu ya kupanga jinsia ya mtoto kutokana na mzunguko wa mwanamke ili akije nimpe elimu na mimba azae jike coz yupo tayar kuzaa na mimi..
mwisho.
Hata me naweza hisi ni wa kupikwaDesa ni artificial scientific methods lakini wanaume zetu wa Tz wengi wao hata kama anaaford hakubali ng'oo, anaona kama mtoto wakutengeneza hatakuwa wake. 🤣