Ni siku ipi/zipi ukisex na mwanamke unapata mtoto wa kike?

mrembo,naomba ufafanuzi zaidi.
Uanze kuhesabu mzunguko wa mhusika kuanzia siku ameanza period mpaka siku ya mwisho kabla hajaanza period nyingine je ni siku ngapi kutoka period ya mwez huu na mwez Mwingine ..ndiyo mzunguko wake huo
 
mtoto wa kike anapatikana mkipiga show kuanzia saa 10:57am hadi saa 15:03pm [non stop] kwa style ya dp world
 
Tengeneza kazi.
 
Uanze kuhesabu mzunguko wa mhusika kuanzia siku ameanza period mpaka siku ya mwisho kabla hajaanza period nyingine je ni siku ngapi kutoka period ya mwez huu na mwez Mwingine ..ndiyo mzunguko wake huo
bravo,hapa nimejua kuhsu mzunguko,ila sijafahamu khs siku ambazo ukshiriki na mwanamke unapata ke.
 
Apia? Na hawa mama full boys tunaowajua? Wanatamani wa kike ila kila akishusha ni kiume?
Kupata boy ni kusex siku maalum karibu na ovolusion wakati kupata mdada ni any days especially siku za mbali kabla ya ovolusion 😉
 
Kupata boy ni kusex siku maalum karibu na ovolusion wakati kupata mdada ni any days especially siku za mbali kabla ya ovolusion 😉
Ulisema kupata mtoto wa kiume ni kazi ngumu… kwa maelezo hayo naona sio kazi ngumu.
Najua ovulation ni kesho… leo nakipeleka 😂😂
 
Ulisema kupata mtoto wa kiume ni kazi ngumu… kwa maelezo hayo naona sio kazi ngumu.
Najua ovulation ni kesho… leo nakipeleka 😂😂
Hahaha wewe mwanamke. Kimbizia kabisa
 
kama mzunguko wake ni siku 28,basi kuanzia siku ya 10,11,12 hapo Kuna uwezekano wa kutungwa Kwa ujauzito jinsia ya like,kama ni wakiume siku ya 14.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
pima kwanza mbegu kamaa zinaoo watoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…