Umejuaje, na nipe maana ya illusionKuzipa maana haifanyi ziwe illusion.
π€£π€£π€£π€£π€£π Hahahaha
Mwambie huyo Cc: Nimesikitika sana nimebubujikwa na machozi macho yamevimba kama nimeng'atwa na nyuki.
ππππππ π π π
Mambo yao waachie wenyewe
Kama kawaida yangu ni siku ya ijumaa πNaona mzee secretarybird yupo site tayari π
View: https://www.instagram.com/reel/DI8I1xUs1-M/?igsh=cnJwMW53Nzl0MzB3
πππ hakika mkuu Tajiri Sina BAYA
SindioJpili,j3,j4 na j5 zimekaa kinafiki sana siku nzuri za ukweli ni ijumaa na jmosi tu