Ni siku nyingine tena ya maumivu

Ni siku nyingine tena ya maumivu

Nikufichulie siri tu kuna baadhi ya meseji nilikua namsaidia kumjibia...maana hawezi kuugulia utamu wa rungu huku anasoma malalamiko yako
Obviously ni utoto unakusumbua,any way kua kwanza kwa sasa ni haki yako kuandika unayoandika.

Mwanaume kamili haezi andika kitu kama ulichoandika hapo juu inajenga mashaka kiasi
 
Obviously ni utoto unakusumbua,any way kua kwanza kwa sasa ni haki yako kuandika unayoandika.

Mwanaume kamili haezi andika kitu kama ulichoandika hapo juu inajenga mashaka kiasi
Basi mimi ni mwanaume toleo jipya ishi humo as long as nakula vitu legal
 
Huu ni muendelezo tu kaka ....
Ni kawaida kula pisi mzee, na kila pisi unayokula sio yako peke yako
Nyingine kesho ndo ndoa, nyingine ziko na wapenzi serious kabisa ila unachakata unakausha..

Ujue hii kitu unayofanya huwa wanafanya sana wanaume wanaokataliwa sana na wanawake au wanaume wanaohisi wana upungufu wa nguvu za kiume so wanajiexpose kua wako njema, ili wajipe matumaini.
Ila kwa mwanaume kamili kula mbususu ni jambo la kawaida kabisa, sio big deal.
 
Karne hii mwanaume hutakiwi kuhofia kugongewa.Ukioa,kuwa comfortable kwamba huyo mkeo mtashea na wenzio mpaka atakapozeeka na kupoteza mvuto kabisa.Usipooa,pia huyo girlfriend wako,legeza moyo na uwe na amani kwamba huyo demu mtashea na wenzio vizuri tu,ni suala la kupangiwa ratiba tu.Ukweli ndo huu na inabidi uupokee kwa amani,usiwe na kinyongo ili uishi maisha marefu.Ukitaka kuepuka kikombe hiki,labda usioe na usijihusishe kabisa na mapenzi kama mtume paul!
 
Back
Top Bottom