Ni siku nyingine tena ya maumivu

Mbona kama unatetea udhaifu wako....? Wala pisi tunajuana
 
Mbona kama unatetea udhaifu wako....? Wala pisi tunajuana
Ndo ukweli huo jombii, kuchakata papuchi ni kitu normal kama kula msosi tu.
Ndio maana hukuti mtu anasema leo nimekula huki ama kile ila siku akila vizuri maana sio kawaida yake basi lazima apost huo msosi. Hujui hilo??
 
Dah we jamaa…poa haina noma hatupigi simu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…