The Palm Beach
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 4,249
- 11,592
Umeambiwa atakuwa kanisani trh 13 Julai, si usubiri?Mi sijapenda, katushikashika, katupapasa, katupa uhakika.....afu kasepa, sijapenda.
Kwa matumaini aliyokuwa anatupa tukajua ukombozi ilikuwa siku ya pili yake. Ghafla mkombozi mwenyewe kapotea mazima. Fighters wenzake tunawaona wakitokea gerezani kuja public kutupa matumaini, yeye katelekeza kambi mazimaπ‘π‘π‘π‘.Mi sijapenda, katushikashika, katupapasa, katupa uhakika.....afu kasepa, sijapenda.
Sauti yake haijatoka kwenye sikio langu "mtu akinichokoachoa nitaita press mara mbili kwa wiki" π€¨Kwa matumaini aliyokuwa anatupa tukajua ukombozi ilikuwa siku ya pili yake. Ghafla mkombozi mwenyewe kapotea mazima. Fighters wenzake tunawaona wakitokea gerezani kuja public kutupa matumaini, yeye katelekeza kambi mazimaπ‘π‘π‘π‘.
MhMi sijapenda, katushikashika, katupapasa, katupa uhakika.....afu kasepa, sijapenda.
Personally mm nilijua moto ungekuwa uleule wa enzi za Bashite. Ghafla ziiiiii, siyo poa hii. Gwajima jitokeze popote ulipo ili isije tukaamini ilikuwa ni kuyeyusha mikutano ya CDM na sakata la Lissu gerezani.Sauti yake haijatoka kwenye sikio langu "mtu akinichokoachoa nitaita press mara mbili kwa wiki" π€¨
1. Jumapili ya tarehe 1/6/2025 katika Ibada ya siku ya Bwana alitangaza mfungo wa siku 7 mchana kisha jioni unafungua kwa Aidha kunywa maji au chakula chepesi kama uji nk
2. Lengo la mfungo lilikuwa kuombea taifa, kuombea viongozi wa vyama vya siasa vyote, kuiombea serikali yetu na Rais Samia na kumwombea Mwenyekiti wa CHADEMA aliyeko gerezani kwa uonevu Mh Tundu Lissu ili Mungu amrehemu na kumtoa
2. Mfungo ulianza siku ya J3 tarehe 2/6/2025. Lakini ghafla, usiku wa saa 5 siku hiyo, Polisi walivamia kanisa la makao makuu ya GCTC - Ubungo, kuvuruga kila kitu na kutaka kumkamata kiongozi mkuu wa kanisa hilo, Mch Josephat Gwajima..
3. Haikuwa mapenzi ya Mungu awe ktk mikono ya polisi wale wauaji. Katika namna ambayo haiwezi kuelezeka kwa lugha ya kawaida ya kibinadamu, alipita katikati yao, akaondoka zake na kuwaacha solemba. Toka siku hiyo, hakuna ajuaye yuko wapi...!!
MAJIBU
β’ Leo ni siku ya 17 tangu siku ya kuondolewa kwake na Mungu na kufichwa ambako mwanadamu asiye na kibali cha Mungu hawezi kumuona...
β’ Yupo, somewhere very special anaendelea na maombi ya siku aidha 21 au 40. Haya maombi ya siku 21 au 40, yeyote ayafanyaye na kumaliza, tetemeko na kishindo cha utukufu wa Mungu hushuka.
β’ Katika rekodi zilizopo kwenye Biblia maombi ya siku 21 au 40 kavu yalifanywa na watu kadhaa; Yesu Kristo kule nyikani, Musa ktk mlima Sinai, Eliya na Daniel nk...
β’ Hebu jaribu kufikiri: Hivi Mch Gwajima akitoka huko kwenye safari ya maombi ya siku 21 au pengine 40 hawa watesi wake wanaokula na kunywa kwa raha zao huku wakimkufuru Mungu watapatwa na nini..?
Ndugu, kaeni mkao wa kula. Mabaali, miungu ya Jezebel itachinjwa na kuzikwa milele siku sio nyingi. Chukua nafasi, omba na ombea watumishi wa Mungu wa kweli wote kama Mch Josephat Gwajima...
Maombi ya siku 21 (2 - 22/6/2025): Utamwona tarehe 23/6/2025 siku ya J'tatu
Maombi ya siku 40 (2/6 - 11/7/2025): Utamwona ktk ibada kanisani tarehe 13/7/2025 J'pili
Stay cool & connected. Expect the unexpected to happen.
"...God is always good..."
Kafanya foreplay tu bila kuamsha dud(u)e au sioMi sijapenda, katushikashika, katupapasa, katupa uhakika.....afu kasepa, sijapenda.
HeeHeeHEEEE!Mi sijapenda, katushikashika, katupapasa, katupa uhakika.....afu kasepa, sijapenda.
Kusema watu wanatekwa na kuuawa ni kushambulia mamlaka?Hivi unaweza elezea ni roho ya aina gani iliyokuwa inamsukuma Gwajima kushambulia Mamlaka kwa kutumia madhabahu ya Kanisa lake?
Kukemea muuaji ya raia wasio na hatia au kuwateka na kuwatesa ni kinyume na shughuli za makanisa/dini!! Wewe utakuwa mgonjwa wa akili kama siyo addicted na uchawa.Kwenye huu ujinga msiwe mnamhusisha Mungu wala kujificha kwenye kivuli cha Mungu , ndo mana mambo huwa yanawaendea kombo Zaid Kwa kujidanganya kuwa mkitaja neno Munu basi mtu atawaonea huruma
Na kweli ndugu. Yaani Mungu asindwe kuwasaia kwa maombi waisrael ambako Yesu alzaliwa aje kumsaidia mmakonde na msukuma?Kwenye huu ujinga msiwe mnamhusisha Mungu wala kujificha kwenye kivuli cha Mungu , ndo mana mambo huwa yanawaendea kombo Zaid Kwa kujidanganya kuwa mkitaja neno Munu basi mtu atawaonea huruma
Asije akawa ametumbukia shimoni (kuzimu) kuchukua nguvu manake kuna wachungaji wengi sana wanakwenda huko kwa bwaba wao.1. Jumapili ya tarehe 1/6/2025 katika Ibada ya siku ya Bwana alitangaza mfungo wa siku 7 mchana kisha jioni unafungua kwa Aidha kunywa maji au chakula chepesi kama uji nk