The Palm Beach
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 4,249
- 11,592
- Thread starter
-
- #41
Unafikiri au unajua..?Ninachojua mimi, yupo "safe house" mmojawapo anafundishwa uzalendo. Siku akirudi uraiani utaona tu mabadiliko.
Nimemtafuta Mungu na kumuona kupitia kwa mtumishi wake Mch. Josephat Mathias Gwajima..Mtafute Mungu Acha kutafuta walipo waume za watu
Amini unachoamini na sitakubishia. Ila ujue, HAKUNA mbwa yoyote nchi hii iliyo na ubavu wa kupambana na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. HAKUNA. Zilizobaki ni mbwembwe za wapuuzi. Hata Lissu aliamini hivyo hivyo, leo analialia eti amewekwa pamoja na waliohukumiwa kunyongwa! Nyambafu!!Unafikiri au unajua..?
May be you mean thisππ»ππ»ππ»ππ» IN ALMIGHTY GOD'S SAFE HOUSE...
NOTE: Sisi tunajua alipo ndiyo maana hatuna kelele, hatuwaulizi mmpeleka wapi mchungaji wetu. Huyu sio kama kina Mdude Nyangali au Deus Soka na wengine. Huyu ni unique, katumwa na Mungu mwenyewe kuwatetea hao. Kama mlikuwa hamjui ni kwanini Jasusi la Mbinguni lilijiingiza kwenye siasa za CCM na kufikia level ya ubunge, sasa anzeni kujua, na huu ndio wakati wa kuelewa kuwa kumbe tulikuwa tunajasusiwa na ripoti kamili iko mbele ya kiti cha enzi cha Yesu Kristo mwenyewe tayari kutoa hukumu ya HAKI
Aisee wewe unaona ujinga sio?Kwenye huu ujinga msiwe mnamhusisha Mungu wala kujificha kwenye kivuli cha Mungu , ndo mana mambo huwa yanawaendea kombo Zaid Kwa kujidanganya kuwa mkitaja neno Munu basi mtu atawaonea huruma
Mmhπ€Amini unachoamini na sitakubishia. Ila ujue, HAKUNA mbwa yoyote nchi hii iliyo na ubavu wa kupambana na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. HAKUNA. Zilizobaki ni mbwembwe za wapuuzi. Hata Lissu aliamini hivyo hivyo, leo analialia eti amewekwa pamoja na waliohukumiwa kunyongwa! Nyambafu!!
bado hujasema, wote mtatoa milio shwaini nyieKwenye huu ujinga msiwe mnamhusisha Mungu wala kujificha kwenye kivuli cha Mungu , ndo mana mambo huwa yanawaendea kombo Zaid Kwa kujidanganya kuwa mkitaja neno Munu basi mtu atawaonea huruma
Muulize mfuga chawa huenda yuko maungoni. Si alijifanya kidume au yuko na Mdude. Who knows.1. Jumapili ya tarehe 1/6/2025 katika Ibada ya siku ya Bwana alitangaza mfungo wa siku 7 mchana kisha jioni unafungua kwa Aidha kunywa maji au chakula chepesi kama uji nk
2. Lengo la mfungo lilikuwa kuombea taifa, kuombea viongozi wa vyama vya siasa vyote, kuiombea serikali yetu na Rais Samia na kumwombea Mwenyekiti wa CHADEMA aliyeko gerezani kwa uonevu Mh Tundu Lissu ili Mungu amrehemu na kumtoa
2. Mfungo ulianza siku ya J3 tarehe 2/6/2025. Lakini ghafla, usiku wa saa 5 siku hiyo, Polisi walivamia kanisa la makao makuu ya GCTC - Ubungo, kuvuruga kila kitu na kutaka kumkamata kiongozi mkuu wa kanisa hilo, Mch Josephat Gwajima..
3. Haikuwa mapenzi ya Mungu awe ktk mikono ya polisi wale wauaji. Katika namna ambayo haiwezi kuelezeka kwa lugha ya kawaida ya kibinadamu, alipita katikati yao, akaondoka zake na kuwaacha solemba. Toka siku hiyo, hakuna ajuaye yuko wapi...!!
MAJIBU
β’ Leo ni siku ya 17 tangu siku ya kuondolewa kwake na Mungu na kufichwa ambako mwanadamu asiye na kibali cha Mungu hawezi kumuona...
β’ Yupo, somewhere very special anaendelea na maombi ya siku aidha 21 au 40. Haya maombi ya siku 21 au 40, yeyote ayafanyaye na kumaliza, tetemeko na kishindo cha utukufu wa Mungu hushuka.
β’ Katika rekodi zilizopo kwenye Biblia maombi ya siku 21 au 40 kavu yalifanywa na watu kadhaa; Yesu Kristo kule nyikani, Musa ktk mlima Sinai, Eliya na Daniel nk...
β’ Hebu jaribu kufikiri: Hivi Mch Gwajima akitoka huko kwenye safari ya maombi ya siku 21 au pengine 40 hawa watesi wake wanaokula na kunywa kwa raha zao huku wakimkufuru Mungu watapatwa na nini..?
Ndugu, kaeni mkao wa kula. Mabaali, miungu ya Jezebel itachinjwa na kuzikwa milele siku sio nyingi. Chukua nafasi, omba na ombea watumishi wa Mungu wa kweli wote kama Mch Josephat Gwajima...
Maombi ya siku 21 (2 - 22/6/2025): Utamwona tarehe 23/6/2025 siku ya J'tatu
Maombi ya siku 40 (2/6 - 11/7/2025): Utamwona ktk ibada kanisani tarehe 13/7/2025 J'pili
Stay cool & connected. Expect the unexpected to happen.
"...God is always good..."
Kuna msemo mwingine unasema," pesa, magari na majumba ni vitu vya kupita, lakini hakikisha vinapitia kwako"! Ahahahahaha!!Mmhπ€
Serikali huja na kupita. Nchi na taifa hudumu hata ajapo masihi
Serikali zingine huangushwa na kishindo cha unyasi tu tokana na upepo wa kisulisuli
Wewe ni mmoja wa watekaji na wauaji au siyo?Mkuu The Palm Beach Salam kwako.
Shalom Shalom. Sijapendezwa na Post yako kwani baadhi ya taarifa ni misleading (Yesu alifunga kula) na zaidi ya hapo inaonekana unajaribu kumwinua mwanadamu (Gwajima) na sio Mungu. Hivi unaweza elezea ni roho ya aina gani iliyokuwa inamsukuma Gwajima kushambulia Mamlaka kwa kutumia madhabahu ya Kanisa lake? Ushauri jaribu kumtafuta Mungu kama mtu binafsi bila kumwangalia mwanadamu yeyote.
Samahani kama nimekukwaza.
Ahsante
Yuko sehemu salama. Ametunzwa na Mungu mwenyewe....Muulize mfuga chawa huenda yuko maungoni. Si alijifanya kidume au yuko na Mdude. Who knows.
Hii ya Samia a.k.a Chura Kiziwi inajiangusha yenyewe kwa kiburi na ujinga kwa mikono yake yenyewe...Mmhπ€
Serikali huja na kupita. Nchi na taifa hudumu hata ajapo masihi
Serikali zingine huangushwa na kishindo cha unyasi tu tokana na upepo wa kisulisuli
Wote tunatunzwa na Mungu. Hivyo, hakuna jipya zaidi ya kutapatapaYuko sehemu salama. Ametunzwa na Mungu mwenyewe....
Unaukumbuka ugomvi wa Mfalme Ahabu na Nabii Eliya aliyezuia mvua kunyesha Israel kwa miaka 3 na nusu...
Speculation zilikuwa nyingi mahali alipo Nabii Eliya hata baada ya serikali ya Ahabu kusambaza maaskari na usalama wa taifa nchi nzima kumtafuta....
Hawakumpata Nabii Eliya mpaka baada ya miaka mitatu alipojitokeza mwenyewe kwa hiari yake na hakumfanya lolote...
Acheni Mungu aitwe MUNGU !!!!
Kwao, kukosoa ktk namna ya kushauri, basi ni kushambulia....Wewe ni mmoja wa watekaji na wauaji au siyo?
Mbona mkiulizwa mueleze kosa la Gwajima ni lipi mnatoa sweeping statements tu "anashambulia mamlaka"?
Hebu elezeni mamlaka imeshambuliwaje? Kuambiwa iwajibike kwa raia kutekwa, kupotezwa na kuuwawa huku mamlaka za uchunguzi na kuzuia mambo haya zikiwa hazifanyi lolote?
Hivi hamuoni kuwa nyie wenye mitizamo hii ndio wajinga na wapumbavu kabisa?
Nabii Samweli alimkosoa na kumkemea Mfalme Sauli waziwazi kwa makosa kama haya. Mfalme alichukia na kutaka kumdhuru mtumishi wa Mungu. Why?
Kwa sbb naturally watawala watenda maovu hujawa na viburi vya madaraka na kuona kila wakati wako sahihi na akitokea wa kuwaambia hapo hapana, umekosea ndiyo kama haya ya Samia vs Gwajima
Mfano mwingine ni tukio la juzi kati ya Mbunge Luhaga Mpina vs Rais Samia kule Meatu, Simiyu. Hivi kosa la Luhaga Mpina lilikuwa ni nini hasa mpaka yule mama akasirike na kumshambulia mbunge na wananchi wake wote waliomchagua?
Je, ni kuambiwa tu "huku tunakudai" kwa maana serikali kudaiwa kwa kuwa haijakamilisha baadhi ya ahadi zake ilizotoa mwaka 2020 walipokuwa wakiomba kura? Kwani ni uongo jamani?
Kama Mungu anatutunza wote, basi umeli - misplace au mis- use neno "kutapatapa" hapa kwa sbb hakuna anayetapatapaWote tunatunzwa na Mungu. Hivyo, hakuna jipya zaidi ya kutapatapa
Jamaa ana ushetani tangu mwanzo, kaenda kuoga dawaKwa kuwa wewe ni mfuasi wa shetani, unafikiri kila mtu ana ushetani kama wako!!??
Hiyo Bunge kuna kitu inafanya kwa sasa? Hakuna sababu ya mbunge mwenye akili timamu fawe bungeni kipindi hiki.Hv haendi ht bungen? Anajificha km nguchiro?