Ni Simba koko FC au Panya SC?

Ni Simba koko FC au Panya SC?

Mkuu Amavubi hivi yule jamaa wa Simba Fans Die Hard mkuu grafani11 yuko wapi!!! Hakika Simba kufanya vibaya kwa misimu ya hivi karibuni imewapunguza baadhi ya Members humu.
Mkuu Freeland ndio juzi ameanza kutokea jukwaani, mkuu Mussolin5 hujitokezea mara chache chache sana.
tumepigwa kumbo baya sana..............................ila ukipanda mchongoma kushuka ndio ngoma, Grafani atarudi tu madhali JF bado ipo hai
 
wakimpa MO, Hans Pope atahujumu, wakimpa Rage; Friends watahujumu, wakimpa Wambura Rage atahujumu...................its a cycle of sabotage

No

Kumpa timu MO sio katika mfumo huu wa sasa...Inabidi kwanza tuibadili mfumo wa timu..iwe kampuni...MO amiliki hisa 51%...Hapo hakutakuwa na Room ya hujuma tena
 
Mkuu Amavubi hivi yule jamaa wa Simba Fans Die Hard mkuu grafani11 yuko wapi!!! Hakika Simba kufanya vibaya kwa misimu ya hivi karibuni imewapunguza baadhi ya Members humu.
Mkuu Freeland ndio juzi ameanza kutokea jukwaani, mkuu Mussolin5 hujitokezea mara chache chache sana.

mkuu...wewe acha tu...Rafiki zangu kina Amavubi nilikuwa nawaambia tangu mwaka jana ...Simba hii bila kubadili mfumo wa uendeshaji tutaumia sana.

Hata hivyo Simba na Yanga hazina tofauti katika mfumo wake...isipokuwa tu kwa sasa pesa za manji zimeituliza timu
 
Manji analipiza maana makapi ya simba yametumika sana Yanga akina Chuji, Nurdin, Kaseja, etc
 
ukitaka kuelewa angalia video ya Kessy na Ngoma .................

mkuu kwani kipi kinakushinda kufunguka hapa?

Kessy sisi wenyewe tumeshindwa kujali mkataba tulioingia naye....Hatukumtimizia hadi pale alipoanza kuweka presha na kugoma kwenda Mwanza na team ili alipwe pesa zake....Kwa upande wako naona yuko sahihi kwa sababu ni haki yake ile.

Kwa msingi huo tume m frustrate sisi na pia ni sisi tumemfukuza

Lakini pia angalia maslahi mapana ya wachezaji...hajajaliwi

labda mimi sijakuelewa mkuu...na sijaelewa zaidi kuhusu ngoma

Kwa sababu kama ni pasi ile hayo mambo ni ya kimpira na huwa yanatokea mara nyingi tu....Tukubali viongozi wameiharibu timu na tuache visingizio...kwani tulipofungwa na mwadui kessy alikuwepo?
 
basi tuseme tumechanganyikiwa ..........................ila kwa Kessy kasumbua kidogo na hata angewekewa masilahi yake asingekaa, nahisi suala lake hujalifuatilia kwa karibu sana na mimi nina bahati ya kuwa karibu na wachezaji na viongozi..............Kessy alianza kusumbua siku nyingi sana na hata siku ya RED Card hakutaka kabusa kukaa vyumbani na kwa taarifa yako Yanga walishamalizana na Kessy siku nyingi hata kwa hiyo picha uliyoona..........kifupi maisha yalishakwisha kwa Kessy pale Simba hakukua na namna
 
kwa hio mkuu ni sahihi kumwangushia kessy mzigo wa performance mbovu ya timu kwa misimu minne?

tuwe realistic kidogo
 
simba wa mjini huyu halali porini anataka kulala kitandani,hataki kuwinda anataka apewe ugali,huyu simba amevurugwa aisee
 
partly and to a very marginal extent, unapokuwa tegemeo na ukakosekana ama kuigharimu timu to some extent kama Kessy, kumbuka amekuwa na mchango mkubwa sana na kwa mechi alizogomea ama kadi zilizoigharimu timu na makosa kadhaa ambayo umeyaita ya kimpira na partly NOT kwa sababu ukiangalia timu ilisambaratika baada ya kushinda mechi 12 mfululizo na mechi iliyotutoa shobo kabisa ni mechi ya Toto tukitoka kufungwa na Coastal FA. Kocha amefanya wachezaji kutafuta visingizio vya kumwangushia jumba bovu kutokana na kudhibiti nidhamu, majeruhi ya wachezaji tegemeo huku timu ikiwa haina super sub, wapenzi kugawanyika wakisakama uongozi badala ya kuangalia uhalisia wa timu uwanjani, usajili ambao haukuwa wa kiwango cha Simba (angalia Kiongera, Majwega, Fakhi, Samih Nuhu aliendoka, Ugandi ambaye bado sana, Mwalyanzi, etc) kusambaratika kwa uongozi wa makundi na hata huenda ahenda ya MO imechangia pia mkuu

TUNAJADILIANA..............
kwa hio mkuu ni sahihi kumwangushia kessy mzigo wa performance mbovu ya timu kwa misimu minne?

tuwe realistic kidogo
 
partly and to a very marginal extent, unapokuwa tegemeo na ukakosekana ama kuigharimu timu to some extent kama Kessy, kumbuka amekuwa na mchango mkubwa sana na kwa mechi alizogomea ama kadi zilizoigharimu timu na makosa kadhaa ambayo umeyaita ya kimpira na partly NOT kwa sababu ukiangalia timu ilisambaratika baada ya kushinda mechi 12 mfululizo na mechi iliyotutoa shobo kabisa ni mechi ya Toto tukitoka kufungwa na Coastal FA. Kocha amefanya wachezaji kutafuta visingizio vya kumwangushia jumba bovu kutokana na kudhibiti nidhamu, majeruhi ya wachezaji tegemeo huku timu ikiwa haina super sub, wapenzi kugawanyika wakisakama uongozi badala ya kuangalia uhalisia wa timu uwanjani, usajili ambao haukuwa wa kiwango cha Simba (angalia Kiongera, Majwega, Fakhi, Samih Nuhu aliendoka, Ugandi ambaye bado sana, Mwalyanzi, etc) kusambaratika kwa uongozi wa makundi na hata huenda ahenda ya MO imechangia pia mkuu

TUNAJADILIANA..............
misimu yote minne ni makosa ya kessy?

mfumo wa usajili simba ukoje?

tujadiliane
 
Kila zama na KITABU CHAKE,

MFUMO;

Kuna kamati ambayo ni de facto sio de jure kwa maana kwamba kuna monopolization ya mandate inayotokana na single source of funding maan the rest ni opportunists, source hapo ni Hans ambaye pia ndiye mwenyekiti na ana sole mandate ya kumkubali mchezaji, Aveva aliingia na mikakati mizuri sana ya kufanya Klabu iwe dependent kwanza kuanzia na mtaji wa wanchama lakini leo hii hata ada ya kadi za wanachama hawajapeleka kwa mchapaji maana yake hapo plan A imefeli..............hata utekelezaji wa Strategic Plan nayi imefeli so safari ni ndefu sana na hasa maisha yanavyobana maana hata hiy single source huenda ikakata tamaa au kukoswa fedha..............

Tukiweza kupata wachezaji ambao ni independent from sole mandate tutakua katika mfumo bora zaidi......tulipotea njia pia kuiga uwekezaji wa wachezaji wa kigeni badala ya ule mfumo tulioanza nao wa vijana ambao ndio hao wapo Toto, Mwadui, Kagera, Ndanda Coastal nk na ndio wanatusumbua kwenye ligi

kifupi siioni simba ikirudi kwenye ubora wake in the next two three four years to come kama hakutakua na paradigm shift ya nguvu sana

good comment

nitarudi tujadiliane vizuri
 
Yanga si ccm uliwahi wapi kuona ccm ikishindwa? Hawa ndio wakitaka kwenda mapumzikoni wakati ligi inaendelea wanaweza, hawa ndio hawatakiwi kufungwa na waarabu wa Tanga kulikoni wafungwe bora refa aonekane anamakosa na kupewa adhabu kufungiwa kwa kutomudu mchezo pamoja na washika vibendera lakini ushindi wanapewa ccm, ni hawahawa wanaweza kuamua kubadilisha uwanja wa mechi yao ya mwisho bila kuangaliwa vifungu vya sheria. Ligi hii ya bongo kelele ni nyingi ila mkienda nje mnarudi wajawepesi.
 
Si busara kuwalalamikia yanga wakati timu yetu Simba ni mbovu kupindukia.......

Tungekaa na kujadili ni jinsi gani ya kutatua matatizo ya Simba
 
Mkuu Amavubi mimi ningeomba tukubaliane at Principle kwamba Uongozi chini ya Mwenyekiti Aveva Umefeli...na umeshindwa ku achieve hata kile kidogo ulichopanga....Na hii imetokana na maamuzi ya mtu mmoja tena maamuzi ya kibabe yasiyo na maslahi kwa timu....Leo hao wachezaji wetu tuliowatengeneza wanafukuzwa kibabe na huyo Hanspope....Mchezaji akidai stahiki zake anaundiwa zengwe na kuonekana mbaya....Lakini tatizo lipo...Huyu Pope yeye anafanya kama anakopesha klabu lakini kwa malengo ya kuja kujilipa mara kadhaa zaidi......

Udhaifu wa Simba unachagizwa na usajili mbovu usio wa kimpira unaofanywa na Pope....Mwalimu wa timu hana nafasi..Ukiniuliza leo kwa nini timu haina kocha mkuu kwa karibu nusu msimu..nadhani hata jibu na wewe hauna...

Leo hii ukiuliza malipo ya fedha za Okwi na Sammatta yako wapi huwezi kupewa jibu la kueleweka.

Katika mfumo wa sasa wa simba kuongozwa kama chama cha siasa ...hakutakuwa na mafanikio hata miaka 200 ijayo

hata utekelezaji wa Strategic Plan nayi imefeli so safari ni ndefu sana na hasa maisha yanavyobana maana hata hiy single source huenda ikakata tamaa au kukoswa fedha..............

Kwa mfano hili unalolosema hapa.....Kwa nini klabu kubwa kama simba imtegemee Pope.....Lazima sisi tukae tujitafakari...Timu yetu ina miaka takribani 90 ya uhai wake...ivi kweli hatuwezi kuifanya klabu ijitegemee?

Lakini najua njia rahisi ambayo pia imechukuliwa na TP Mazembe ni kubadili mfumo wa timu.....Kwenda kwenye kampuni....Ukiweza ku list shares watajitokeza wanunuzi wa hisa....unaweza ku issue only 50% na ku raise funds za kutosha tu.Tunachokitaka sisi washabiki na wanachama ni ushindi.....Na kwa timu yetu ilivyo...the moment itaapokuwa na guts za kifedha ...hakuna timu yoyote Afrika inaweza kutufunga

Katika mfumo wa kampuni discipline itakuwepo....wachezaji watalipwa...kocha atasajili...timu itakuwa na viwanja na assets za kutosha...Lakini Pia Simba Sports Club itaweza kuanzisha michezo mingine kama Netbol,Basket Ball,Kuogelea na kadhalika

Labda tujadiliane ugumu hasa wa kubadili mfumo ni nini?
 
Back
Top Bottom