Ni Simba pekee ikitoka sare inaona kama imepoteza

Timu zote wakipata sare na Simba,ikiwa ni pamoja na utopolo,huwa wanashangilia sana.
Hii ni dalili ya kuonesha ukubwa wa Simba.Hawawezi kuja hapa na kuisifu ila mioyoni mwao Simba ni kubwa kuliko timu zao.
Bro sasaivi katika hii league kuna ushindani mkubwa sana,so ikitokea mmoja anakosa points zote 3 inakua Kama advantage kwa mwingine
 
Timu zote wakipata sare na Simba,ikiwa ni pamoja na utopolo,huwa wanashangilia sana.
Hii ni dalili ya kuonesha ukubwa wa Simba.Hawawezi kuja hapa na kuisifu ila mioyoni mwao Simba ni kubwa kuliko timu zao.
Shenzi type
 
ni lini simba ilishinda bila kuhonga refa au kununua mechi? tuanzie hapo kwanza
 
Kwa maneno haya unajiabisha bure,maana watu wanaohisi kuhongwa hongwa kila wakati ni watoto wa wadangaji.Sina uhakika kama wewe ni mmoja wao.Ila hii tabia ni matokeo ya athari za utotoni kuona baba wengi waliokuwa wananunua huduma nyumbani

Back
Top Bottom