kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Timu zote wakipata sare na Simba,ikiwa ni pamoja na utopolo,huwa wanashangilia sana.
Hii ni dalili ya kuonesha ukubwa wa Simba.Hawawezi kuja hapa na kuisifu ila mioyoni mwao Simba ni kubwa kuliko timu zao.