kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Bro sasaivi katika hii league kuna ushindani mkubwa sana,so ikitokea mmoja anakosa points zote 3 inakua Kama advantage kwa mwingineTimu zote wakipata sare na Simba,ikiwa ni pamoja na utopolo,huwa wanashangilia sana.
Hii ni dalili ya kuonesha ukubwa wa Simba.Hawawezi kuja hapa na kuisifu ila mioyoni mwao Simba ni kubwa kuliko timu zao.
Sasa hapa na wewe umeandika nini kama siyo kuonyesha utumbiliMuda mwingine Mbumbumbu mpunguze kupost ugolo
Morrison ni ypke mfupi
Ni sawa na kusema bila lamine moro jana tungekuwa tunaongea mengine aliyewaita uneducated manyani na mambwa hakukoseaJana alikua anaruka ruka tu uwanjani. Bila Mzamiru Yasin, muda huu tungekua tunaongelea habari nyingine.
Yaan kaonyesha Unyani wakeSasa hapa na wewe umeandika nini kama siyo kuonyesha utumbili
Shenzi typeTimu zote wakipata sare na Simba,ikiwa ni pamoja na utopolo,huwa wanashangilia sana.
Hii ni dalili ya kuonesha ukubwa wa Simba.Hawawezi kuja hapa na kuisifu ila mioyoni mwao Simba ni kubwa kuliko timu zao.
Shenzi type
Hiki tatizo lingine la akili, bila Mzamiru? Kwani Mzamiru wa timu gani?Jana alikua anaruka ruka tu uwanjani. Bila Mzamiru Yasin, muda huu tungekua tunaongelea habari nyingine.
Hiki tatizo lingine la akili, bila Mzamiru? Kwani Mzamiru wa timu gani?
ni lini simba ilishinda bila kuhonga refa au kununua mechi? tuanzie hapo kwanza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122]Ni sawa na kusema bila lamine moro jana tungekuwa tunaongea mengine aliyewaita uneducated manyani na mambwa hakukosea
Mpaka leo utopolo mnamlilia morison kama nini.Morrison ni ypke mfupi
Hivi yule kocha wenu chiba aliwaitaje vile[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jana alikua anaruka ruka tu uwanjani. Bila Mzamiru Yasin, muda huu tungekua tunaongelea habari nyingine.
Utopolo wana think below human standards.Hiki tatizo lingine la akili, bila Mzamiru? Kwani Mzamiru wa timu gani?