Ni Simba SC ipi kati ya zifuatazo iliyoshinda Jana dhidi ya Nyasa Big Bullets FC kule Malawi?

A. Simba SC ya Mgunda?
B. Simba SC ya Matola?
C. Simba SC ya Wachezaji wa Kufurahia Kuondoka kwa Kocha Maki?
D. Simba SC ya Wachezaji Wenyewe kuamua Kuwajibika na Kujitoa kuipigania Jezi?
Naona umemaliza kifungo (ban ya jf)

Natarajia kuona ile account ya minocycline inatoweka kwa muda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Anyway Simba ni. Combination ya MAKOLo
 
Kuna Mru hapa JamiiForums asiyefahamu kuwa The Hated Zanaki, Makuwa and Tutsi Genius GENTAMYCINE alikuwa BANNED?

Wamekuomba urejee Kuwakumbusha au ni Kiherehere chako tu?

Sina ID nyingine hapa JamiiForums zaidi ya hii Super Brand ID yangu ya GENTAMYCINE "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer' sawa?
 
Ni Simba SC ipi kati ya zifuatazo iliyoshinda Jana dhidi ya Nyasa Big Bullets FC kule Malawi?
Ulichokiandika awali kiliendana hiki Ulichokiandika sasa? au leo Watu walio karibu nawe wamesahau Kukukumbusha muda wa Kunywa Vidonge vyako vya Kuathirika kwa Ubongo na Akili?
 
Nadhani ni hawa watu wangu tu wa karibu ndiyo walioniambia "hebu njoo uone mauza uza huku! MINOCYCLINE atapotea katika mazaingira ya kutatanisha, na yule nanihii atafufuka ghafla kutoka wafu"
 
A. Simba SC ya Mgunda?
B. Simba SC ya Matola?
C. Simba SC ya Wachezaji wa Kufurahia Kuondoka kwa Kocha Maki?
D. Simba SC ya Wachezaji Wenyewe kuamua Kuwajibika na Kujitoa kuipigania Jezi?

Usiue soo, tunakumbuka bado uzi wako huu:

Nimeshaanza kuwasaidia Big Bullets FC ya Malawi ili Waifunge Simba SC ya Barbara na Matola tarehe 10 Sept 2022​

Na sotoishia hapo niliahidi na sasa natekeleza hata Mechi ya Marudiano Wiki ijayo Dar es Salaam pia nitawasaidia kwa kutoa Siri Kubwa za Kimchezo za Simba SC na mpaka Uchawi Wao wanaoutumia. Na nikiona bado Kocha Msaidizi Matola hajatimuliwa Simba SC na Barbara nae hajatuachia Simba SC naahidi Kuwasaidia Yanga SC na kutoa Siri za Ndani za Simba
 
Kuna Mru hapa JamiiForums asiyefahamu kuwa The Hated Zanaki, Makuwa and Tutsi Genius GENTAMYCINE alikuwa BANNED?

Wamekuomba urejee Kuwakumbusha au ni Kiherehere chako tu?

Sina ID nyingine hapa JamiiForums zaidi ya hii Super Brand ID yangu ya GENTAMYCINE "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer' sawa?
Jina lako la kinyarwanda unaitwa nani mkuu? nimelisahau kidogo
 
A. Simba SC ya Mgunda?
B. Simba SC ya Matola?
C. Simba SC ya Wachezaji wa Kufurahia Kuondoka kwa Kocha Maki?
D. Simba SC ya Wachezaji Wenyewe kuamua Kuwajibika na Kujitoa kuipigania Jezi?
Ni simba sports club Tanzania.

Ni simba ile timu bora Afrca.

Ni simba ile iliyofika robo caf fainali mara tatu mtawalia.

Ni simba ile inayocheza kwa furaha mechi za nje.

Rejea msimu uliopita.
 
Ni simba ile iliyofika robo caf fainali mara tatu mtawalia.

Bila shaka UD Songo umeisahau.
 
A. Simba SC ya Mgunda?
B. Simba SC ya Matola?
C. Simba SC ya Wachezaji wa Kufurahia Kuondoka kwa Kocha Maki?
D. Simba SC ya Wachezaji Wenyewe kuamua Kuwajibika na Kujitoa kuipigania Jezi?
Na uyo mgunda wenu siku sio nyingi mtaanza kumkataa ni suala la muda tu na yeye alivyoingia kwa mikwara kama yote utadhani ni morinho ametua bongo, ngoja apelekewe moto mechi 2 wale waliomkataa matola watamgeukia mgunda ataondoka bila kuaga hizi timu presha zao sio za kitoto ni bora angebaki uko uko coast union
 
Back
Top Bottom