ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Itakua Simba wa Yuda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kalemera Rwigyema Mazimpaka Kadogoo Kisungura ( GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE )Jina lako la kinyarwanda unaitwa nani mkuu? nimelisahau kidogo
🤣🤣🤣Naona umemaliza kifungo (ban ya jf)
Natarajia kuona ile account ya minocycline inatoweka kwa muda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anyway Simba ni. Combination ya MAKOLo
Yite ni majibu sahihi.A. Simba SC ya Mgunda?
B. Simba SC ya Matola?
C. Simba SC ya Wachezaji wa Kufurahia Kuondoka kwa Kocha Maki?
D. Simba SC ya Wachezaji Wenyewe kuamua Kuwajibika na Kujitoa kuipigania Jezi?
Kwani si anasimamia mechi mbili tu ndugu, tatizo ni nini?Na uyo mgunda wenu siku sio nyingi mtaanza kumkataa ni suala la muda tu na yeye alivyoingia kwa mikwara kama yote utadhani ni morinho ametua bongo, ngoja apelekewe moto mechi 2 wale waliomkataa matola watamgeukia mgunda ataondoka bila kuaga hizi timu presha zao sio za kitoto ni bora angebaki uko uko coast union
Ila hicho kibwagizo cha jina hapo chini si mchezo, yaani ni weka tuweke. Sio mbaya fella karibu tena uwanjaniKuna Mru hapa JamiiForums asiyefahamu kuwa The Hated Zanaki, Makuwa and Tutsi Genius GENTAMYCINE alikuwa BANNED?
Wamekuomba urejee Kuwakumbusha au ni Kiherehere chako tu?
Sina ID nyingine hapa JamiiForums zaidi ya hii Super Brand ID yangu ya GENTAMYCINE "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer' sawa?
Kweli Ndugu nimepotea sana na sipo kabisa.MINOCYCLINE atapotea ghafla humu jukwaani. Kama mimi muongo, mtaniambia.
A. Simba SC ya Mgunda?
B. Simba SC ya Matola?
C. Simba SC ya Wachezaji wa Kufurahia Kuondoka kwa Kocha Maki?
D. Simba SC ya Wachezaji Wenyewe kuamua Kuwajibika na Kujitoa kuipigania Jezi?
Mambo ya Simba we hayakuhusu, pambana na ya kwenu huko utopoloniA. Simba SC ya Mgunda?
B. Simba SC ya Matola?
C. Simba SC ya Wachezaji wa Kufurahia Kuondoka kwa Kocha Maki?
D. Simba SC ya Wachezaji Wenyewe kuamua Kuwajibika na Kujitoa kuipigania Jezi?