Ni Simba SC Jumamosi na TP Mazembe Jumapili

Kuelekea mechi za kimataifa za CAF champions League ambapo Simba atawakaribisha Raja Casablanca na ile ya Confederation Cup ambayo Yanga atakuwa mwenyeji kuwaalika TP Mazembe ni wazi hizo mechi mbili zitaisha kwa ushindi kwa Simba Sc na Tp Mazembe.

TP Mazembe wana nafasi kubwa ya kushinda 2 bila ama 2 kwa 1 huku Simba pia akiwa na nafasi kubwa kupata matokeo kama hayo ama kushinda 1 bila.

Sababu za utabiri huu nitazitoa baada ya mechi zote 2 kukamilika.

MECHI ZIMESHAKAMILIKA HAYA TUPE SABABU ZA UTABIRI WEWE SAWADOGO [emoji1787][emoji1787]
 
Kuelekea mechi za kimataifa za CAF champions League ambapo Simba atawakaribisha Raja Casablanca na ile ya Confederation Cup ambayo Yanga atakuwa mwenyeji kuwaalika TP Mazembe ni wazi hizo mechi mbili zitaisha kwa ushindi kwa Simba Sc na Tp Mazembe.

TP Mazembe wana nafasi kubwa ya kushinda 2 bila ama 2 kwa 1 huku Simba pia akiwa na nafasi kubwa kupata matokeo kama hayo ama kushinda 1 bila.

Sababu za utabiri huu nitazitoa baada ya mechi zote 2 kukamilika.

WEWE SAWADOGO, TUNATAKA SABABU HIZO HAPA [emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom