Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahahaha we sasa unamaanisha simu au?Isiyoshika mtandao (Network)
Nimemjibu kulingana na swali alilouliza .. Kuna zinazoitwa simu ukitoka nje ya mji hazishiki mtandao.Isiyoshika mtandao (Network)
Kwanini mkuu?hiyo apo kwenye picha
Inategemea ni iphone ya shilingi ngapiNilitumia iphone nikasema sitokaa nitumie. Niliiuza kwa bei ya hasara ilimradi inipishe tu
Made in tandale
Mkuu kabisaaa ulienda kununua Aquos ukiwa timamu🙂Aquos, hata kuzisikia sitaki tena
niliingia mkenge aisee,Mkuu kabisaaa ulienda kununua Aquos ukiwa timamu🙂
Ukitaka kununua simu, cha kwanza pitia specifications zake.niliingia mkenge aisee,