Ngai Moko
JF-Expert Member
- Mar 21, 2016
- 1,301
- 1,738
Labda ulipigwa ila hizi ni simuAquos, hata kuzisikia sitaki tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda ulipigwa ila hizi ni simuAquos, hata kuzisikia sitaki tena
Mkuu kabisaaa ulienda kununua Aquos ukiwa timamu🙂
Ana chuki na Sharp tu, hazina tatizo, ikiwa aliuziwa mbovu lazima azichukieZinashida Gani? Niliona zinalowekwa kwenye maji mara zinadondoshwa. Chini na zohoro matelephone nikaona hizi Zina mfaa mzee wangu huko majarubani! Zina shida Gani nisije jichangana
Zahoro naye mtu wa kumuamini?Zinashida Gani? Niliona zinalowekwa kwenye maji mara zinadondoshwa. Chini na zohoro matelephone nikaona hizi Zina mfaa mzee wangu huko majarubani! Zina shida Gani nisije jichangana
sawa mkuu umesomekaZahoro naye mtu wa kumuamini?
Hazina shida kama utaitumia kwenyr kupiga na kupokea simu, kwa wazee huko vijijini zinawafaa sana.
Ila kwa wewe kijana wa mujini, hazitakifaa.