Ni simu gani unayotumia sasa?

Ni simu gani unayotumia sasa?

Dam oda ameamua kupumzika sasa , nilikuwa nakomaa na kengan ashura, tokyo revengers na eminence in shadow nikajikuta nimeisahau kabisa.

imagine nipo zou arc
Hapana Oda hajapumzika, manga took just a 2 weeks break kwa sababu za kiafya, but anime(toei studio) ndio imechukua hio likizo ya miezi sita kuboresha pacing na animation.

But kwa sisi wasomaji wa manga hamna kilichoharibika, gurudumu linaendelea.
 
Screenshot_20241201_000925_com.huawei.android.launcher.jpg
HUAWEI P30
 
Hapana Oda hajapumzika, manga took just a 2 weeks break kwa sababu za kiafya, but anime(toei studio) ndio imechukua hio likizo ya miezi sita kuboresha pacing na animation.

But kwa sisi wasomaji wa manga hamna kilichoharibika, gurudumu linaendelea.
kuna manga ukisoma kisha ukaja kuangakia anime yake hautaki tena kurudi kuisoma mfano "ufotabo animations " walivyoipika demon slayer nimeshindwa kuendelea na manga nasubiri watoe mugen castle tu hakuna namna .

Vipi frieren naona ina reputation nzuri haujaipitia?
 
Back
Top Bottom