Ni simu gani yenye sifa hizi?

Ni simu gani yenye sifa hizi?

Classic 1

Senior Member
Joined
Sep 11, 2021
Posts
117
Reaction score
113
Habari, ningependa kujua model ya simu ambayo inaweza ku-record video zenye quality nzuri.
- preferably those with video stabilizer (stabilization)

Brands: Xiaomi, Oppo, One Plus, etc.
Sorry, iphone is not my preferred brand.

Your help pls.
 
Most of time brand za kichina hazina Quality kwenye video recording na hasa Hio stabilization, na pia usitegemee simu ya bei rahisi kuwa na stabilization (OIS)

The best you can get ni s21 ultra, kwa wachina MI 11 ultra.

Kama budget ni ndogo tafuta flagship za Zamani za Samsung refurb zipo za kutosha bei rahisi.
 
Mimi labda niongezee.

Anaweza kununua hizo brand alizotaja hapo juu. Ila ahakikishe inakuwa na flagship soc.

Nitatolea mfano mimi nna Redmi K20 pro...

Hii simu somehow huwa naichukia kwenye picha haino consistence nzuri. Japo inapiga picha nzuri.

Ila upande wa video I appreciate. Iko consistence sana. Ina record mpaka 4K at 60fps na level ya stabilization iko vizuri japo siyo ya kiwango cha juu kama Realme X60 pro plus.

Maana hao Realme ile system yao ya Gimbal kwenye camera inatoa stabilization ya hali ya juu sana. Ambayo bado sijaiona kwenye camera yoyote ya simu.
 
Kwenye stabilization OIS ni muhimu zaidi kuliko flagship soc, japo soc nayo ina mchango wake. Midrange yenye ois itaipita flagship isio na ois kwenye stabilization, japo na hizo ois zinatofautiana.

Mfano galaxy A52 ina camera nzuri kushinda poco f3 japo A52 ni midrange na poco ina flagship soc, A52 ina OIS.

Unaweza weka comparison ya hio gimbal na s21 ultra? Nimegoogle gimbal ni tripod ya kushikia camera
 
Kama unataka OIS kuna Vivo X50 Pro ina rotating Camera ambayo iko built ili ku enhance hiyo image stabilization niliona review ya #Mrwhosetheboss aliipa credit unaweza kuiangalia japo haujalist VIVO kwenye brands zako
 
Most of time brand za kichina hazina Quality kwenye video recording na hasa Hio stabilization, na pia usitegemee simu ya bei rahisi kuwa na stabilization (OIS)

The best you can get ni s21 ultra, kwa wachina MI 11 ultra.

Kama budget ni ndogo tafuta flagship za Zamani za Samsung refurb zipo za kutosha bei rahisi.
Thanks for your prompt response. Ubarikiwe 🙏
 
Mimi labda niongezee.

Anaweza kununua hizo brand alizotaja hapo juu. Ila ahakikishe inakuwa na flagship soc.

Nitatolea mfano mimi nna Redmi K20 pro...

Hii simu somehow huwa naichukia kwenye picha haino consistence nzuri. Japo inapiga picha nzuri.

Ila upande wa video I appreciate. Iko consistence sana. Ina record mpaka 4K at 60fps na level ya stabilization iko vizuri japo siyo ya kiwango cha juu kama Realme X60 pro plus.

Maana hao Realme ile system yao ya Gimbal kwenye camera inatoa stabilization ya hali ya juu sana. Ambayo bado sijaiona kwenye camera yoyote ya simu.
Thanks for your insights 🙏
 
Kwenye stabilization OIS ni muhimu zaidi kuliko flagship soc, japo soc nayo ina mchango wake. Midrange yenye ois itaipita flagship isio na ois kwenye stabilization, japo na hizo ois zinatofautiana.

Mfano galaxy A52 ina camera nzuri kushinda poco f3 japo A52 ni midrange na poco ina flagship soc, A52 ina OIS.

Unaweza weka comparison ya hio gimbal na s21 ultra? Nimegoogle gimbal ni tripod ya kushikia camera

Nilizungumzia suala la Soc as midrange soc nyingi hazikupi baadhi ya resolution.

Kwa mfano 4k 60fps ambayo iko smooth kuliko 4k 30fps.

Mimi simu yangu ina SD855 inarecord 4k at 60fps lakini pia ina OIS.

Kuhusu hiyo Vivo X60 pro plus nakuwekea link hapo chini. Tena ukiweza iangalie video yote. Na uzuri zaidi kwenye hiyo video Mr. Whosetheboss ameilinganisha na Galaxy S21 Ultra.

Angalia kuanzia Dakika ya 5:40 ndio ameongelea na kutest hizo gimbal camera maana both main lens na ultrawide lens ni gimbal.

Pia hiyo simu inagonga Bokhe hakuna simu inatia mguu. Ukiweza angalia video zote.
 
Kama unataka OIS kuna Vivo X50 Pro ina rotating Camera ambayo iko built ili ku enhance hiyo image stabilization niliona review ya #Mrwhosetheboss aliipa credit unaweza kuiangalia japo haujalist vivo kwenye brands zako
Ninashukuru ndugu, nitaicheck hiyo pia🙏
 
Kama unataka OIS kuna Vivo X50 Pro ina rotating Camera ambayo iko built ili ku enhance hiyo image stabilization niliona review ya #Mrwhosetheboss aliipa credit unaweza kuiangalia japo haujalist vivo kwenye brands zako
Sasa hivi kuna Vivo X60 pro plus. ambayo ni toleo baada ya hilo. Ina balaa.
 
Nilizungumzia suala la Soc as midrange soc nyingi hazikupi baadhi ya resolution.

Kwa mfano 4k 60fps ambayo iko smooth kuliko 4k 30fps.

Mimi simu yangu ina SD855 inarecord 4k at 60fps lakini pia ina OIS.

Kuhusu hiyo Vivo X60 pro plus nakuwekea link hapo chini. Tena ukiweza iangalie video yote. Na uzuri zaidi kwenye hiyo video Mr. Whosetheboss ameilinganisha na Galaxy S21 Ultra.

Angalia kuanzia Dakika ya 5:40 ndio ameongelea na kutest hizo gimbal camera maana both main lens na ultrawide lens ni gimbal.

Pia hiyo simu inagonga Bokhe hakuna simu inatia mguu. Ukiweza angalia video zote.

Thanks, Let me watch the video
 
Halafu hapa tunaongelea Vivo X60 pro plus ila naona mwezi huu pia inatoka Vivo X70 pro plus na tayari kuna mtu nimeshamuona ameireview japo bado hawajairelease official. Aiseeee hiyo simu nayo ni balaa.
 
Mimi labda niongezee.

Anaweza kununua hizo brand alizotaja hapo juu. Ila ahakikishe inakuwa na flagship soc.

Nitatolea mfano mimi nna Redmi K20 pro...

Hii simu somehow huwa naichukia kwenye picha haino consistence nzuri. Japo inapiga picha nzuri.

Ila upande wa video I appreciate. Iko consistence sana. Ina record mpaka 4K at 60fps na level ya stabilization iko vizuri japo siyo ya kiwango cha juu kama Realme X60 pro plus.

Maana hao Realme ile system yao ya Gimbal kwenye camera inatoa stabilization ya hali ya juu sana. Ambayo bado sijaiona kwenye camera yoyote ya simu.
Google pixel unawajua mzee
 
Nilizungumzia suala la Soc as midrange soc nyingi hazikupi baadhi ya resolution.

Kwa mfano 4k 60fps ambayo iko smooth kuliko 4k 30fps.

Mimi simu yangu ina SD855 inarecord 4k at 60fps lakini pia ina OIS.

Kuhusu hiyo Vivo X60 pro plus nakuwekea link hapo chini. Tena ukiweza iangalie video yote. Na uzuri zaidi kwenye hiyo video Mr. Whosetheboss ameilinganisha na Galaxy S21 Ultra.

Angalia kuanzia Dakika ya 5:40 ndio ameongelea na kutest hizo gimbal camera maana both main lens na ultrawide lens ni gimbal.

Pia hiyo simu inagonga Bokhe hakuna simu inatia mguu. Ukiweza angalia video zote.

Hio video ya Mrwhotheboss imemiss details nyingi sana mkuu.

Skip mpaka 9:19 video comparison, jamaa ametumia kigezo kizuri mawingu (comparison za camera hufanywa hivi kwa kitu ambacho watu wote tunakijua), pia ana stabilization nzuri kwenye circus.

Pia mwisho kabisa wa video kwenye night time video japo vivo alikuwa ni clear winner kwenye night time Unaweza ukaona stabilization s21u ilikuwa smooth zaidi.

All in all Mkuu camera yake nzuri sana nilikuwa sifahamu hili, ipo same level na hayo makampuni makubwa. Sema uchina bado upo hasa kwenye ku apply hizo filter za ngozi.
 
Inaenda around ngapi hiyo vivo mkuu?
 
Back
Top Bottom