42774277
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 6,833
- 8,853
Hiyo series ya Vivo nimeanza kuifatilia tangu Vivo X50 pro mwezi huu wanarelease vivo x70 pro plus.Hio video ya Mrwhotheboss imemiss details nyingi sana mkuu.
Skip mpaka 9:19 video comparison, jamaa ametumia kigezo kizuri mawingu (comparison za camera hufanywa hivi kwa kitu ambacho watu wote tunakijua), pia ana stabilization nzuri kwenye circus.
Pia mwisho kabisa wa video kwenye night time video japo vivo alikuwa ni clear winner kwenye night time Unaweza ukaona stabilization s21u ilikuwa smooth zaidi.
All in all Mkuu camera yake nzuri sana nilikuwa sifahamu hili, ipo same level na hayo makampuni makubwa. Sema uchina bado upo hasa kwenye ku apply hizo filter za ngozi.
Maboresho huwa ni makubwa sana kwenye kila toleo wanalotoa.
Mfano X50 ilikuwa kawaida. Zaidi zaidi waiintroduce hiyo gimbal camera system.
X60 wakaja wakapartiner na Zeiss. Hiyo camera ikasifiwa sana Kwenye Bokhe na stabilization. Hata kwenye quality ya picha bado inasumbuana na smartphones nyingi sana. Hata we mwenyewe kwenye comparison utakuwa umeona.
Ngoja tusubiri hiyo X70 pro plus.