Ni simu za aina gani?

Ni simu za aina gani?

KIBURUDISHO

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2011
Posts
1,002
Reaction score
277
WanaJF wote heshima yenu wakuu naombeni kuuliza symbian na iphone ni simu za aina gani hizo?
 
Iphone ni aina ya simu na symbian ni Operating System inayowekwa ndani ya simu,nyingi zinazotumia mfumo huo ni nokia,yaani kama computer yako inavyotumia windows,mac,linux,etc
 
iPhone ni hizi za Apple zipo kama version 3 tofauti.
cUvBM.jpg


Symbian ni OS kama walivyosema na ipo kwenye maelfu ya simu. P.S Nokia wamesema wataacha kutumia Symbian soon.
ZbGG1.jpg
 
Back
Top Bottom