Ni site gani nzuri ya online shopping?

Ni site gani nzuri ya online shopping?

nyumbani kwenu

Senior Member
Joined
Aug 11, 2020
Posts
152
Reaction score
152
wakuu habari zenu,

Naomba kupata uzoefu, ni site gani nzuri ya online shopping,kati ya amazon,ebay, na aliexpress, kwa kununua simu ambayo nitakua na uhakika wa mzigo wangu kufika.

Huwa natumia aliexpress kwa kuagiza vimizigo vidogo vidogo, upande wa simu sijawah naomba uzoefu wenu wakuu.
 
Zote zipo fresh tu itagemea bidhaa utakayo ubora au mpya au used au kuingia kwenye mnada yani wewe Ndio muamuzi wa kutokana na itaji lako
 
wakuu habari zenu,

Naomba kupata uzoefu, ni site gani nzuri ya online shopping,kati ya amazon,ebay, na aliexpress, kwa kununua simu ambayo nitakua na uhakika wa mzigo wangu kufika.

Huwa natumia aliexpress kwa kuagiza vimizigo vidogo vidogo, upande wa simu sijawah naomba uzoefu wenu wakuu.
Kama umewai tumia AliExpress endelea na hiyo hiyo ebay na amazon kama sio expert achana nazo.
 
Back
Top Bottom