Ni software gani inayoweza kufanya hard subtitling

Faida ya kawaida mkuu maana siyo biashara kubwa ni biashara za kawaida kawaida ambazo zinaweza kuendesha maisha ya mwananchi wa kawaida. Faida yake bado si kubwa sana zinakua bado
Freelancing average ni 800-2000$.
Mzee huo mpunga ndo wa kawaida? Watu tunanyonga tai daily na takehome haizidi hata $200. Uliwezaje kuchomoka huu mtego wa ajira?
 
Fungua handbrake, drop in video halafu chagua kwenye subtitle click import subtitle ingiza hilo file ya srt au ass kisha tick burn in, kisha rudi kwenye summary chini chagua browse uchagua destination ya file na format nadhani formati itakuwa mkv unaweza futa ukaweka mp4, halafu nenda juu click encode tulia mpaka imalize
 
Big up mkuu, huwa mnani inspire sana nyie ambao mmeweza kufanya vitu mnapenda nje ya ajira na mpunga mnapata. Nishafanya kazi kampuni ya saba hii ila bado sijioni nikiseto upande huu wa kuajiriwa. Napenda kufanya mambo yangu namna hiyo kimbembe ni jinsi gani natoka kwenye hii ndoano
 
Kuachana na ajira siyo kitu rahisi Mzee, kuna kipindi niliajiriwa ila nilifanya mwaka mmoja nikaacha maana nilichotegemea sicho nilichopata. IIla kuna watu wana ajira zinawaingizia ela ndefu sana sana mkuu. Hivyo it depends, japokuwa napenda sana what I do, ila mimi kwangu money comes first mapenzi second. But nashukuru nachopenda na pesa vinaenda kwa pamoja
 
Na mi nlimaanisha huko mkuu, inakua ni mbaya kama hela unayopata ni hela mbuzi and its not your passion either, hela kama ni ndefu mbona haina shida mkuu kwasabu hela ndefu inaweza kutengeneza mahaba na kazi. Mi kinachogomba ni hela kiduchu afu naona kabisa sifanyi nachopenda kwamba ningeweza kwenda zaidi ya hapa
 
Ndo hivyo mkuu ni kupambana tu na kucheck ustaraabu wa kutoka hatua moja kwenda nyingine. Na kila mtu ana style yake ya kudaka pesa, wengine huku wanadaka youtube, wengine blogs, mimi huko nilishindwa
 
Ndo hivyo mkuu ni kupambana tu na kucheck ustaraabu wa kutoka hatua moja kwenda nyingine. Na kila mtu ana style yake ya kudaka pesa, wengine huku wanadaka youtube, wengine blogs, mimi huko nilishindwa
Poa mzee, offcourse kuna kitu napambania hope ntachomoka huku. Nlianza mwaka juzi ila nliangukia pua, nimeanza kupambania tena kombe mpaka kieleweke this time
 
Poa mzee, offcourse kuna kitu napambania hope ntachomoka huku. Nlianza mwaka juzi ila nliangukia pua, nimeanza kupambania tena kombe mpaka kieleweke this time
All the best mkuu kitakutoa tu kama kweli ukiweka nia
 
Shukrani mzee baba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…