Sikuwa nawaza kutoajiriwa, ila ni kama tu nilijikuta haya ambo yananifuata yenyewe sikuingia online kuyatafuta yalinifuata yenyewe na kwa malipo makubwa almost 700$ per week miaka 7/8 nyuma wakati dollar kama sijasahau ilikuwa nadhani 1580 tshs, Sasa imagine ni fresh from chuo naanzaje kutafta ajira na nina work kama masaa 10 tu kwa wiki muda mwingine nashinda nikizunguka tu.
Ila roject iliishaga ila bad nafanya hii kitu mfano haya ni malipo ya video ya dakika 5, niliyokuwa nataka merge na subtitle jana. ni kazi ambayo haiwezi kukuchukua hata 3 hrs
View attachment 1659119
Ila usidhani ni rahisi kuanza ku earn mapema it takes time na ngekewa maana mimi watu wanaiulizaga napataje clients nashindwa kuwapa jibu la moja kwa moja