Ni software gani inayoweza kufanya hard subtitling

Zipo softwares nyingi za kufanya hivyo ila mimi natumia Aegsub.
Kama hivi View attachment 1658105
Nilitumia aegsub lakini subtitle haiwi sehemu ya video, ni mpaka ufungue video kisha utafute subtitle file ndio inakuja subtitle..

Shida yangu ilikuwa niweke video youtube nikashindwa kupata mbadala wake..

Je we subtitle inakuwa ni sehemu ya video moja kwa moja? Km ndio umefanyaje?
 
Aegsub inatumika kutengeneza srt na ass files tu. Ila jana nilitaka kumerge subtitle iwe sehemu ya video so nilitengeneza subtitle kwenye aegsub ila nikazimergy na video kwakutumia handbrake simple na quaity ay video inabaki the same mpaka client alifurahi ilikuwa beyond his expectation na nilichukua muda mfupi.
 
Tupe gawio wadau
 
Unapenda wapi ni umasikini tuu umetuandama
Pesa niliyonunua hii pc ningenunua PC nzuri tu kweny soko letu la kibongo, ni Dell Inspiron 3000 Series 2 in 1 na nilinunua ikiwa mpya, ningeweza nunua PC yoyote nzuri na chenji ikabaki. Naipenda kwa sababu ni slim, unaweza kuikunja ikawa tablet, na inakaa na chaji masaa mpaka 7/8 kwa matumizi ya kawaida, pia haichemki. Inafanya kazi zangu zote kwa uzuri kabisa. Yani hapa penyewe nataka nunua another weak PC nimetokea kuzipenda kwasababu ya chaji na kutochemka.
 
Hayo ya chaji na kutochemka ndio udogo wenyewe ww unadhani Vits inachemka kufikia Scania??

Ina CPU na GPU ndogo hivyo hata Consuption ya power ni ndogo.

Kama kazi zako ni za media na ndio zinakupa ulaji hufanyi kwa hobbie basi tafuta PC nzuri
 
Hayo ya chaji na kutochemka ndio udogo wenyewe ww unadhani Vits na inachemka kufikia Scania??

Ina CPU ndo hivyo hata Consuption ya power ni ndogo.

Kama kazi zako ni za media na ndio zinakupa ulaji hufanyi kwa hobbie basi tafuta PC nzuri
Yah ndiyo maana napenda weak pc kwasababu hazichemki na zinakaa na chaji hiyo ndo point yangu na ndiyo maana nataka kununua another weak PC. Hapana shughuli zangu siyo za multi-media sana, nyingi ni surfing, document processing, subtitling, edit ndogo ndogo za photoshop na illustrator ambazo mara nyingi uwa ni zangu binafsi au za washikaji labda mtu kaomba nimtengenezee logo, bronchure, letter head hivyo vitu nafanyaga bure maana personally sijichukulii kama graphic designer. pia voice over nafanyaga mara moja. Sijapata shida kufanya hayo kwa hii PC
 
Basi sawa, kwa hiyo mkate wako wa kila siku unategemea kazi gani?? au unakula boom hapo UD
 
Nje ya biashara ni freelancing ambayo naifanya kwa hii PC nikikwama ndo narudi kwenye biashara zangu otherwise freelancing kwa kiwango kikubwa. Kusoma baadae sana degree kwasasa inanitosha
 
biasshara zako kwa mwezi zinakuletea average sh. ngapi
Faida ya kawaida mkuu maana siyo biashara kubwa ni biashara za kawaida kawaida ambazo zinaweza kuendesha maisha ya mwananchi wa kawaida. Faida yake bado si kubwa sana zinakua bado
Freelancing average ni 800-2000$.
 
Mkuu hakuna ndugu wanaoleta kidomo domo?..maana wengi wanataka watu wawe wanavaa na kuchomekea shati kila asubuhi(kuwa na white colour job).
 
Hapana mkuu maana nilianzia huko toka nimemaliza chuo nikaja kuingia kwenye ajira baada ya miaka kadhaa nikafaya halafu nikatoka. Wataletaje kidomo wakati siwategemei kwa msaada wa kifedha mkuu kwa zaidi ya miaka 8.
 
Naelewa..ila familia zetu nyingi za kibongo za kizushi sana..wanataka waone watu wanafanya kazi or mishe ambazo hata wao wanazijua kuwa zinaweza kumpa mtu a living

Sema nini big up mzee
 
Yah unalosema ni kweli hata mimi mzee wangu mwanzo alikuwa hivyo, sema mimi ni mbishi mbishi akawa anajua nitafail halafu nitarudi kuomba connection. Ila akashangaa ndani ya muda mfupi namfanyia maajabu ikabidi awe mpole tu.
Kwa ndugu hakuna anayenisumbua kasoro mmoja tu ila hatuko karibu sana hivyo hanipi tabu. Mimi ndiye muamuzi wa maisha yangu na utu uzima huu unipangie maisha unaanzaje mkuu.
 
Aegsub inatumika kutengeneza srt na ass files tu. Ila jana nilitaka kumerge subtitle iwe sehemu ya video so nilitengeneza subtitle kwenye aegsub ila nikazimergy na video kwakutumia handbrake simple na quaity ay video inabaki the same mpaka client alifurahi ilikuwa beyond his expectation na nilichukua muda mfupi.
Nipe maujanja... Nirudie ile kazi maana nilikata tamaa kwa kweli..
 
Kazi gani mkuu?
Ni video fulani niliedit kwa kuunga matukio, kisha nikahitaji kutia subtitle, adobe jinsi ya kutia caption ikanipa changamoto, ndio nikapata soln aegsub lakini ndio kutengeneza subtitle inakuwa ni kifile tu, ukitaka kutizama mpaka ufungue, haiwi pamoja na video
 
Back
Top Bottom