Sio kweliSoko la kisutu...
Hii kidogo nakubari ila sio kwa asilimia zoteTemeke Stereo Ipo Mwembeyanga
Hio mikungu si unajua inapouzwa kwa wingi ni Mahakama ya Ndizi Mabibo Chuo cha NIT kwa mbele km unaelekea BIG Brother au haujui hilo?Wewe uko wilaya Gani ?
Hili matunda unanunua bei kama ya shambani MbeyaTemeke Stereo Ipo Mwembeyanga
Yaani BwerereeHili matunda unanunua bei kama ya shambani Mbeya
Nenda machinjioni vingunguti, utumbo wa buku jero unakula wiki.Wakuu,
Nauliza tu maana hili suala la kununua vitu gengeni kwa kweli vimezidi kuwa ghali
Ni soko gani naweza kwenda vitu vikawa affordable?
View attachment 3623671
kama hukubalian nae si ndo utoe jibu sahh sasaHii kidogo nakubari ila sio kwa asilimia zote