Ni soko gani Dar linaongoza kuwa na mazaga ya bei rahisi?

Soko Mjinga liko manzese nyuma ya pale kwenye maduka mengi barabarani. Achana na hili la barabarani
Mabibo Sokoni, ingawa si meza zote, kuna vichocho vya wamama mle ukivibamba utafurahi
Soko la Ilala, ukiwahi asubuhi unapata toka kwa wakulima
 
kama yupo maeneo ya mjini, basi afike tandika sterio, Hilo ndio siko linaongoza kwa gharama ya chini kwa mahitaji ya chakula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…