Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 977
- 1,966
Mimi filamu hii nimependa kwamba imetukumbusha kuwa wanawake tusiwe ving'ang'a na UKIMWI pamoja na magonjwa ya zinaa bado vipo. Tuweni makini wakuu hayo mengine mtayaorodhesha hapo chini.
Mkuu kaangalia kwanza alafu urudi kucomment hapaUtatupa movie review yake au ndo tukaitafute kwanza ndio tuje kukomenti?
Nyie mashoga kwa nini mnatumia mafuta ya nguruwe au ndio kinga yenu?Kinga ni bora kuliko tiba.