Ni Staili Gani Unapenda kulala Na Mpenzi wako??!

Ni Staili Gani Unapenda kulala Na Mpenzi wako??!

Nadhani kitambi ndio poa zaidi maana kina feeling za sofa.
Achana na Huyo hata kuniona hujawahi nionaaa anaropoka tuuuu ovyoooo.... Teh waulize walio nionaaa

Cc:Michael
Cc:shybu
Cc:ki....................ba
 
Unamaanisha style za kulala au kugegedana? Namba mbili wapo kweli?? Mimi yangu haipo hapo, kila mtu analala upande wake!
hiyo #2 ni kuchoshana tu, wakati wa kulala inabidi mwili uli-relax sio kubebeshana mizigo day & night
 
Yani mkeo umpe makombora ya Kim Jong ya namna hiyo Mkuu...?

Hebu tumia busara kwa Njia nzuri utakayo weza kumuadhibu.
Usiwaambie wengine "Nipo nyuma ya keybords hapa, lakini kiuhalisia hadi nazi nakunishwa"[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23]
[emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377]
 
[emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14]

Sawa mkuu
 
Leta suggestions nyingine
Hapo sipendi hata moja
9a9541e3f162292d997ebbd5d72e597b.jpg
 
Dah...Kulala inategemea sana na kazi yako unayoifanya ....
Kama mpiga ngeta....

...Au muendesha guta......

Au bodaboda....

.....😀😀😀😀😀😀😀
 
Aisee!! Kumbe daslamu raha iviee..ad mastyle mnakariri.
Iv umewai kupata ajali ya baiskel kwenye mtermko Wa mawe wewe! Bas ile style unayojikuta baada ya ajali ndio hyo hyo..unafukuza mtu unabutua mtama unashuka nae kama jonsina
 
Back
Top Bottom