Admin1988
JF-Expert Member
- Mar 30, 2017
- 1,603
- 1,848
Habari zenu wakuu?
Kwa kauli za Rais Samia jana sikuzifurahia kabisa, kwani ni za kibaguzi.
Hazina tofaugi na kauli za kidini kama ile aliyoitoa Lowassa akiwa KKT Tabora 2015.
Katiba yetu ya JMT ibara ya 13(2), (4)(5)(6) na ibara ndogo (a) mpaka (e).
zinakataza mamlaka yoyote kuweka ubaguzi dhahiri au kwa taathira yake.
Chini ya sheria Na.4 ya 1992 ib.8 zikisomwa kwa pamoja na sheria Na.3 ib.3 ya 2000.
Sasa kwanini Katiba inavunjwa?
Nashaurinwashauri wa mama wampe maneno ya kusema.
Kuna watu hata ndani ya chama cha mapinduzi wanausaka Urais naona kawanyooshaView attachment 1940069